hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
daahh shikamoo ... 99 umesha anza kazi !!,?hahaha kumbe wengi wadogo humu. nlikua kazini mitaa ya ohio Dar. kazini ilikua ni mwaka wa pili. chuo nlishamaliza na CPA juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daahh shikamoo ... 99 umesha anza kazi !!,?hahaha kumbe wengi wadogo humu. nlikua kazini mitaa ya ohio Dar. kazini ilikua ni mwaka wa pili. chuo nlishamaliza na CPA juu.
Hahaaa haaa daaahhLazima niwe mkweli nilikuwa darasa la sita shule ya msingi Mbuyuni hapo njia ya kuelekea posta, tulirudishw home kisa nyerere kafa, nilipofika nyumbani nilimkuta mwenye nyumba analia mithili ya mtu aliyebakwa
Ulikuwa kidato chan ngapi? au ulikuwa chuo?Kumbe watoto wadogo wengi humu la pili, la tatu???
na sisi tulio kuwa tuna miaka mitatu na miez kadhaa unatuitaje??????Kumbe watoto wadogo wengi humu la pili, la tatu???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakumbuka jamaa mmoja humu aliandika Kuwa, unaweza ukajadiliana mambo ya mapenz na mdogo wako au mwanao humu, halafu hamjuani..... Hii ni thread ni mojawapo ya tafiti za Rika humu jf... [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Nilikua Standard One hapo Uhuru Primary Arusha
Nshawajua nyie wa rika ganiNilikua darasa la pili
Nshawajua nyie wa rika gani
Hahaaa umeshindaaKipindi hicho ninamiaka 18 sema kijijini tunachelewa kuanza shule sababu ya kuchunga
Ukiingia lio niite bestHahaaa umeshindaa
Ndo nataka nkatoe taarifa huko ntarud mida kama ya janaUkiingia lio niite best
Loh nasikia furaha kukuona mdogo wangu sisi wakubwa zako tulitolewa darasani na Mwl. Nzowa (alikua mdada flani sista duu ana weusi mzuri na tako kama lote anakaa kota za BOT) natumai ulimkuta akakufundisha hesabu. Tukaenda kupanga foleni mjengo mweupe wakatwambia tushike tama na mkono wa kushoto tukachomwa jua saaaana mpaka gari iliyobeba mwili ilipofika tulikua hoiNilikuwa Std 1 Bunge primary narudi home saa 7 namkuta mshua anamskiliza mzee mkapa akihutubia kwenye radio