Kifo cha Mwanafunzi UDOM kinachunguzwa kwa ajili ya nini?

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Waziri Ni mtu mzima!

Huyo Nasra Ni mtu mzima!

Badala tujadili namna ya kuwaondoa Hawa mafisadi walioonyeshwa na CAG, tunapambana na weak politics!

Hapa, naona mzee wa propaganda katuhamisha kutoka kwa CAG, na katuweka huku.

Je,Kuna Sheria inayomkataza waziri kuchepuka?

Okay, kimechunguzwa imekutwa ni kweli, what's next? Sisi Kama Taifa inatusaidia nini?
 
Mi mwenyewe kiukweli naona Kufatilia Mjadala wa Huyo Naibu waziri na huyo Mchepuko wake ni kukosa Akili maan haitusaidii chochote,

maan kam mshahara wa Dhambi yao tayri wameshaupata sasa sisi kinachotuuma ni nini ? Au hat hao wanaoshupalia hii inshu kwan wao hawana Michepuko ?
 
Dunia simama ili nishuke, middle class wa kitanzania ni mazuzu, yaani binadamu mwenzetu amekufa kwenye mazingira tatanishi eti tuache kuongelea hili na maisha yaendelee, kweli humu JF kuna watu wenye ukatili wa hali ya juu, aliyetoa mada hii honest kwangu nakuona ni mtu katili na bora nisisome tena mchango wako hapa JF
 
Kwa hapa Tanzania ukiukwaji wa maadili ya kingono siyo ishu.

Mkapa alikuwa na mchepuko Ritha Mlaki ambaye alitamba sana enzi hizo. Mkapa hakufanywa kitu

Kikwete akichepuka na akina Vicky Kamata, Sophia Mjema, mtoto wa Zakhia Meghji, na wengine wengi. Kikwete hakufanywa kitu ..

Magufuli akiwa waziri aliichepuka na mwanafunzi wa UDSM mpk akampa nyumba ya serikali. Akiwa rais kamjengea mpk hotel. Hakuishia hapo tuna hadithi yake na mrembo Angela. Magufuli hakufanywa kitu.

Hapa nimegusa majina ya marais tu. Sijashuka kwa hawa wateule na wabeba mikoba wao.

Mwacheni Ndugange atumie hela na nguvu zake za kiume kwa ustawi wa maisha yake.
 
Kwa hapa Tanzania ukiukwaji wa maadili ya kingono siyo ishu.

Mkapa alikuwa na mchepuko Ritha Mlaki ambaye alitamba sana enzi hizo. Mkapa hakufanywa kitu

Kikwete akichepuka na akina Vicky Kamata, Sophia Mjema, mtoto wa Zakhia Meghji, na wengine wengi. Kikwete hakufanywa kitu ..

Magufuli akiwa waziri akichepuka na mwanafunzi wa UDSM mpk akampa nyumba ya serikali. Akiwa rais kamjengea mpk hotel. Hakuishia hapo tuna hadithi yake na mrembo Angela. Magufuli hakufanywa kitu.

Hapa nimegusa majina ya marais tu. Sijashuka kwa hawa wateule na wabeba mikoba wao.

Mwacheni Ndugange atumie hela na nguvu zake za kiume kwa ustawi wa maisha yake.
Kuna ka ukweli. Tunapenda sana umbea kuliko kazi.
 
Dunia simama ili nishuke, middle class wa kitanzania ni mazuzu, yaani binadamu mwenzetu amekufa kwenye mazingira tatanishi eti tuache kuongelea hili na maisha yaendelee, kweli humu JF kuna watu wenye ukatili wa hali ya juu, aliyetoa mada hii honest kwangu nakuona ni mtu katili na bora nisisome tena mchango wako hapa JF
Dah,wewe akif! mjomba yako linakuwa ni jambo la kitaifa?
 
Waziri Ni mtu mzima!
Huyo Nasra Ni mtu mzima!

Badala tujadili namna ya kuwaondoa Hawa mafisadi walioonyeshwa na CAG ,tunapambana na week politics!

Hapa, naona mzee wa propaganda katuhamisha kutoka kwa CAG ,na katuweka huku.

Je,Kuna Sheria inayomkataza waziri kuchepuka?

Okay, kimechunguzwa imekutwa Ni kweli, what's next? Sisi Kama Taifa inatusaidia nini?
Daaa!!!hii nchi kweli ina safari ndefu,yaani kwa akili hizi hiyo ripoti ya CAG,unaweza kuichambua kweli??wakati mwingine ukimya huficha mengi!?Yaani hujui kabisa kuwa nini faida ambayo ndugu wa marehemu wataweza kuipata kama kweli ikibainika ndugu yao alifariki kutokana na ajari ya gari??kwenye mambo ya bima?na uwajibikaji wa kiongozi kwa kutaka kuficha ukweli,ambalo ni kosa kisheria,?japo kwa Afrika ndio hivyo tena!!hata kama kwenye bima atakuwa anaweza kukosa sifa lakini,muwajibikaji aliyepelekea hilo kutokea yupo,atawajibika!!kwani kama ni kweli alikuwepo kwenye ajari hiyo,kuna uratibu mkubwa sana ulifanyika.
 
Waziri Ni mtu mzima!
Huyo Nasra Ni mtu mzima!

Badala tujadili namna ya kuwaondoa Hawa mafisadi walioonyeshwa na CAG ,tunapambana na week politics!

Hapa, naona mzee wa propaganda katuhamisha kutoka kwa CAG ,na katuweka huku.

Je,Kuna Sheria inayomkataza waziri kuchepuka?

Okay, kimechunguzwa imekutwa Ni kweli, what's next? Sisi Kama Taifa inatusaidia nini?
Kila kifo ni fumbo na kila kifo ni funzo,hivyo ni lazima kila fumbo lifumbuliwe na kila funzo lifunzwe
 
Unahisi nn kitaenda kutokea baada ya huo uchunguzi...??...Ndugage atapigwa kibuti na MaMa...kwa kukiuka maadili ya utumishi wa Umma akiwa kama kiongozi mwandamizi wa Wizara...?

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Hili limeshaisha hutakaa ulisikie tena! Labda mitandaoni.. Serikali imeshatoa matamko yake
La polisi
La daktari
Hawa ndio wahusika wakuu..
 
Ila sielewi Why kitendo kama hk...Serikali inatumia nguvu kubwa kukificha...?..kwa nn..., sio kwamba ilitakiwa iwe wazi Waziri aone kuwa amekosea na ameenda kinyume na maadili...atoke hadharani aombe radhi kwa Wananchi na kwa Mamlaka ya uteuzi...na kama kuna adhabu kutoka mamlaka ya uteuzi apewe ili waliopo kwenye baraza wajifunze na ss tuliopo nje tujifunze ...¡! hv hata ingetokea kwenye Utawala wa Magufuli ingeenda hvhv...!!!

Fear of the unknown
 
Dunia simama ili nishuke, middle class wa kitanzania ni mazuzu, yaani binadamu mwenzetu amekufa kwenye mazingira tatanishi eti tuache kuongelea hili na maisha yaendelee, kweli humu JF kuna watu wenye ukatili wa hali ya juu, aliyetoa mada hii honest kwangu nakuona ni mtu katili na bora nisisome tena mchango wako hapa JF
Sasa utata wa icho kifo ni upi Wewe unaamini alikufa kwenye ajali akiwa na Naibu waziri sawa. Jamaa anauliza shida ni nini hapa kama walikua wanachepuka wale ni watu wazima Sisi tunawashwa na kitu gani Mbona kelele zimezidi huku.
 
Waziri Ni mtu mzima!
Huyo Nasra Ni mtu mzima!

Badala tujadili namna ya kuwaondoa Hawa mafisadi walioonyeshwa na CAG ,tunapambana na week politics!

Hapa, naona mzee wa propaganda katuhamisha kutoka kwa CAG ,na katuweka huku.

Je,Kuna Sheria inayomkataza waziri kuchepuka?

Okay, kimechunguzwa imekutwa Ni kweli, what's next? Sisi Kama Taifa inatusaidia nini?
Akina lugano huwa wana akili. Lakini umenishangaza unaposema week politics. Ulitaka maanisha siasa ya wiki?
 
Back
Top Bottom