Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Chino wanaman, Chino wanaman.Hapa nilipo najiuliza Chino ni nani?ukiachilia mbali huyo Nabeel aliyetolewa kafara
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapa nilipo najiuliza Chino ni nani?ukiachilia mbali huyo Nabeel aliyetolewa kafara
Waabudu mashetani kwa umaarufu na utajiri kazi mnayo.Na wameenda mbali zaidi kwa kusema eti kafara imetimia tutegemee mambo makubwa kutoka kwa Chino kupitia hiyo ajali.
πππππππNi upuuzi tu.
Nikisema akili za kimasikini nitakuwa nimejitukana na mie, mie ni masikini na sina akili mbovu hivyo..ππ€£ππ€£π€£ Ni upuuzi tu
AiseeMleta mada mwenyewe ana mrengo huohuo coz ukiona mtu anaeleza kitu akitumia neno "eti" basi na yeye ana upande potofu ndani yake.
,πππHapa nilipo najiuliza Chino ni nani?ukiachilia mbali huyo Nabeel aliyetolewa kafara
Ajali imetokea wakiwa njiani kutoka dar kwenda tanga kwenye shoo ambayo walipewa dili na ummy ticha, maeneo ya ajali siyakumbuki ila nahisi walikuwa washakaribia tanga maana majeruhi walikimbizwa bombo.Ajali ya imetokea wapi?