Kifo cha Nabeel chahusishwa na ushirikina, kafara imetimia!!!, Watanzania tuna mawazo ya ovyo sana

Ajari imetokea Kabuku.
 
Ile gari ni Toyota Vellfire na ajali ilitokea Kabuku
 


Kwa nn wewe usingoje uone kuliko kuja hapa kutupigia kelele? Inawezekana pia ni kweli na inawezekana sio kweli.
 
Inawezekana vizuri tu
Niliamua kuingia kwenye account ya huyo chino man jamaa haioneshi kama amepata jeraha lolote tofauti na wenzake waliovunjika miguu jambo hili nazani ndio limeleta maswali mengi kwa mashabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…