Kifo cha Nusura: Maswali ya kujiuliza kwenye Ripoti ya Tume ya Uchunguzi

Kifo cha Nusura: Maswali ya kujiuliza kwenye Ripoti ya Tume ya Uchunguzi

Inna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.

Binti alikwenda UDOM kusoma au kusomea?

Ameitia aibu familia yake na ametutia aibu Waislam wote, (either or) .
We bibi unataka kusema ukiwa chuo ulikua huliwi
 
AlhamduliLlah sijafanya ujinga kabla ya kuolewa. Harusi yangu ilifana.
Mashallah ila chuo niumri mkubwa kwabint labda kama uliolewa kabla yakufika huko chuo kupunguza vishawish nauzinz
 
Garama iliotumika kuficha ujinga huu nadhani inatosha madawati 100 ya kukalia wanafunzi
 
Mashallah ila chuo niumri mkubwa kwabint labda kama uliolewa kabla yakufika huko chuo kupunguza vishawish nauzinz
Ni maadili mabovu na watu kutokufata mafunzo ya dini zao.
 
Afrika ni kama hatuna akili tu...hapo mamilioni yametumika still wanatoa taarifa ambayo ni tata.Afrika ndo maana tulitawaliwa na tunashindwa kujitawala
 
Tarehe 27 ni sikuyenye saa 24. Inwezekana kabisa ukahudhuria na ukasafiri kwenda kokote unakotaka hata kabla ya siku haijaisha. Kwa upsnde mwinge upo uwezekano wa wanachuo kuwaripoti wenzao kuwa wako darasani wakati wako safari- hili pia linaweza kueleza huko ALIONEKANA 27. mENGINE YALIYOBAKI NI chuki zako tu
Ni kweli, tena basi lenyewe linapita Dodoma saa za mchana! Inawezekana asubuhi ameingia akapiga vipindi mchana akasafiri! Labda huo mkanganyiko wa tarehe za kufariki!
 
Sisi tunapenda sana mambo ya nguoni

Muacheni Nusura, Mbona report yake iko wazi sana?

Ukitaka kuamini huo uvumi inabidi uwaone watu wengi sana kuwa waongo. Wamo wazazi wake, wamo marafiki zake wa UDOM, yumo mchumba wake, wamo Madaktari wa Hospitali, wamo wa vyombo vya usafiri nk.
Na je upande wa pili unaoamini alikufa tarehe 25 Una ushahidi gani? Hatuna Hata shahidi Mmoja Aliyejitokeza publicly akisema alimuona Huyu msichana akiwa Marehemu tarehe 26.

Familia imepoteza mtoto wao. Tunawaongezea machungu tu mengine.

Inawezekana huyo waziri alikuwa na mwanamke Lakini huyo mwanamke sio Nusura.
 
Afrika ni kama hatuna akili tu...hapo mamilioni yametumika still wanatoa taarifa ambayo ni tata.Afrika ndo maana tulitawaliwa na tunashindwa kujitawala
Hata hiyo tarehe ya kufariki ni kwasababu UDOM hawakufanya uchunguzi wowote. Wao walisikiliza taarifa ya rafiki yake ambaye naye hakuwa na taarifa kamili. Wakati huo ilikuwa uvumi juu ya uvumi.
Taarifa ya mtu kafa lini lazima uitoe Hospitali.

Wamuache msichana wa watu apumzike Salama.
 
Nusura kapanda basi hilo mchana wa tarehe 27/04/2023. Hilo basi linatoka Dar, hivyo haiwezekani liwe Dodoma Asubuhi. Pili angeondoka Asubuhi Kweli angepanda basi la Babati? Si angepanda mabasi ya Arusha moja kwa moja? Na Kama aliondoka Dodoma asubuhi, Kweli angefika Moshi Saa tano usiku? Ushahidi huo wa hiyo Safari wazi unaonyesha wazi alikuwepo chuoni Asubuhi ya tarehe 27/04/2023. Akapanda mabasi ya mchana na kuunga unga mpaka kufika Moshi.
 
Back
Top Bottom