Kifo cha pesa Beach Kidimbwi

Na pia matajiri wakueleweka huwezi kumuita Kidimbwi mkaongelea mambo ya msingi.

Na sio matajiri tu, hata watu wenye ajira zao serious huwezi mpeleka kidimbwi.

Kuna matajir kibao wanakwenda kidimbwi hao wana special seat ambapo kuingia huko VIP uwe na atlist 1m. Kuna mtu alipukutisha 56million usiku 1 pale kidimbwi sasa huyu sio tajiri?? Na huyu mwamba akiingia pale akitumia pesa ndogo sana 10million.

Akina manara, wasanii, watu maarufu kibao utawakuta kidimbwi, wanao ongoza kula bata ni wafanyakzi wa serikali kaka kibao me nakutana nao maeneo mengi.
 
Sawa mtaalamu
 
Ndomana mashuwa,viongozi wana sehemu zao maalum wanakwenda tumia hakuna camera,hakuna mziki
Ni mwendo wa jazz kwa mbali
Watu wanaoingia ni maalum tu
Privacy iko ya kutosha
Kidimbwi kitambaa juliana etc hakuna Privacy mtu ukifanya jambo mji wote unajuaaa

Ova
 
Still hao sio matajiri.

Mtu mwenye heshima zake huwezi mkuta kidimbwi.

Manara na wasanii na hao watu maarufu wote ni njaa tupu. Huwezi kuta directors wa makampuni makubwa kidimbwi.

Hakuna kitu hapo.

Au kwenu mmeambiwa wasanii wa bongo wana hela?
 
Real shit Necca!

Don hagongi malaya mchafu, only type A Pussies for sho!!!
 
Still hao sio matajiri.

Mtu mwenye heshima zake huwezi mkuta kidimbwi.

Manara na wasanii na hao watu maarufu wote ni njaa tupu. Huwezi kuta directors wa makampuni makubwa kidimbwi.

Hakuna kitu hapo.

Au kwenu mmeambiwa wasanii wa bongo wana hela?
Kweli kabisa

Ova
 
Mzee laiti ungejua watu madili wanayoyafanya watu wanapiga hadi 150- 400m sio kwamba wengine baba gavana au nini wengi madogo wa forex...
Madogo wa Forex wanapiga hela sana yani Forex mtu akishafika level ya 10000usd+ theres no going back hio kupiga dollar 500 daily ni kawaida akikusanya hata dollar 2000 kwa week tu si anasumbua sana weekend.

Madogo wana ma Gangs yao kabisa na wengi ndio wanaokuja kujiachia hapo Kidimbwi.
 
Kuna kijana mmoja wa forex anaitwa Moneyhollic huwa anakuja pale kidimbwi na chawa wake wakina Dullvani,Mose Iyobo........Dogo na gang yake anaacha pale kidimbwi zaidi ya 5 million per one night
 
Jaribu kushindana utajimalizaaa mwenyewe, mwenyewe.
Kampuni ni kubwa sanaa
 
Nimemwekea bill hapo..alafu sikutaka tufike huku,kupost na mapicha picha niliogopa kufanya Uzi uonekane Kama tangazo,lkn nilipoona amekaza fuvu nikamwekea bill ya vinywaji ambayo ina bei za milioni
Maccm ndiyo yanachambia pesa zetu watz huko vidimbwi kwa kuagiza vinywaji vya mamilioni ....kweli nimekubali kuwa ccm ni maviii
Vip hukumwona Rostam azizi huko vidimbwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…