Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Na pia matajiri wakueleweka huwezi kumuita Kidimbwi mkaongelea mambo ya msingi.
Na sio matajiri tu, hata watu wenye ajira zao serious huwezi mpeleka kidimbwi.
Kuna matajir kibao wanakwenda kidimbwi hao wana special seat ambapo kuingia huko VIP uwe na atlist 1m. Kuna mtu alipukutisha 56million usiku 1 pale kidimbwi sasa huyu sio tajiri?? Na huyu mwamba akiingia pale akitumia pesa ndogo sana 10million.
Akina manara, wasanii, watu maarufu kibao utawakuta kidimbwi, wanao ongoza kula bata ni wafanyakzi wa serikali kaka kibao me nakutana nao maeneo mengi.