Kifo cha pesa Beach Kidimbwi

Ni usanii tu. Kwanini wasinunue na kujinywea hizo pombe kimya kimya hata nyumbani ikiwezekana?
Hahaha watu wanapenda amsha ansha mkuu tena amezungukwa na machawa.
Kidimbwi mtu anafika anaagiza vinywaji mezaa inajaa.
Muda mfupi tu unashangaa wasichana wanajaa kwenye hiyo meza.
Kidimbwi kuna kufuru kubwa mnoo.
 
Mtafutaji yeyote hadi anakuwa Tajiri, lazima anakuwa na discipline ya hela.

Hawa wanaotumbua hela, watakuwa ni watoto au ndugu wa matajiri, wapiga dili mjini, Chawa, waliotusua pesa kwa mkupuo, na wadangaji.
 
Sure... kuna mwanangu mmoja taasisi mmoja ya serikali imekodi eneo lao mwana ahh bill za mia 6 mia 7 zinalipwa kawaida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…