Kifo cha pesa Beach Kidimbwi

Kifo cha pesa Beach Kidimbwi

Watoto wa kishua ndio wanasumbua kidimbwii. Sio matajiri wenyewe..

Wasumbufu wengi kidimbwii ni wale baba gavana BOT.. ama baba CEO bandarini...

Na kuna wale wana urithi wa nguvu. Unakuta baba na mama wamefariki wamewaachia ukumbi za maharusi na appartments za kutosha dar.. hao ndio wanachezea hela kidimbwii.. maana zinaingia tu kila siku

Shida ya kidimbwiii madem wengi ni wadangaji tu.. ukiwaona pisiii kali jichanganyeee wakuuzie ukimwi
 
Rafiki zangu wakaka wanasemaga demu wako akikusumbua mpeleke Kidimbwi akiona zile pisi kali atatulia mwenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Ila Kidimbwi kuna warembo jamani. Nikiendaga pale naishia tu kusema, "Wanaume wana kazi sana"
Hahahaha huko mbona ni kuingia gharama tuu. Wee mwambia afungue ule uzi wetu wa warembo atajiona ng'ong'ozo mwenyewe
 
Word.

Viwanja kama hivyo ni vya malaya,drug dealers, blackmailers, Pimps, wazee wa dark tricks zote na mafekeche

Viwanja kama hivi utapata HIV, gonorrhea, syphilis,klamedia, UTI, herpes, mifangasi.

Watu smart wenye cashflows zao wanakula hyatt regency movenpick au double tree by hilton.

Wanakula wale high class bi.tc.hes Au career women.

Mtu smart hawezi fvck demu mvuta sigara,mvuta shisha mwenye mitatoo kama gazeti.

These areas are there for the damned people with no life purposes but luckily visited with money.
Nimecheka sana comment ya huyu jamaa ina ukweli flani soma kwa kurudia utaelewa
Hasa paragraph ya mwisho
 
Back
Top Bottom