Kifo cha Rais Dkt. Magufuli pigo kwa vijana wapenda siasa

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,516
Reaction score
5,463
Nianze kwa kutoa pole mimi kama Mtanzania mzalendo kwa watanzania wenzangu kwa msiba huu mzito ulilolipata Taifa letu, tumuombee mpendwa wetu awe na safari njema huko aendako AMEN.

Nirudi kwenye Maada pasipo kuwachosha sana,kifo cha Rais wetu kimekua cha kusikitisha sana na chenye simanzi nyingi hasa katika ulingo wa Siasa ukizingatia Hayati Magufuli alikua moja ya watu waliovutia vijana wengi kuingia kwenye Siasa hasahasa vijana wa kitanzania.

Rais Magufuli hakua na ubaguzi katika teuzi zake hili ndilo lililovutia vijana wengi hakuangalia unatoka katika familia gani? Au una mda gani kwenye chama? Mfano Silinde.

Vijana wengi walianza kuvutiwa na Ccm na wengi walijiunga na chama kabisa je hawa vijana kweli matumaini yao yapo kweli na hatma yao kisiasa ipoje? Jibu ni rahisi tu naona matumaini yao yamefifia kabisa ni kama wamechanga karata wakati ambao sio sahihi naongea hivi kwa sababu hata Hayati Magufuli mwenyewe alikua ana mashaka ikiwa akiondoka kama kuna Miradi itatekelezwa na hili nalichukua kama Reference mpaka kwenye uongozi ndani ya chama je utakua uelule na kasi ileile? BIG NO.

RIP.JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI
 
Tofautisha kati ya
vijana wapenda siasa na wale vijana
ambao ni walamba viatu, wazee wa kujipendekeza huku wakisubiri teuzi,

Hii inatokana na wao kuona serikali ilikuwa ya tumbua tumbua hivyo wakajiinguza huko huku wakitegesha kulamba udas u rc u dc n.k
 
Wajinga ni wengi sana nchi hii. Na awamu ya 5 imefanya hata wale waliokuwa wanaigiza kuwa ni werevu, ilifika hatua nao wakatuonesha ujinga wao
 
Uko sahihi mkuu, Mzee alitoa room sana kwa vijana na alitu inspire sana hakuwa mtu wa connection wala classes hapo ndio alishika mioyo ya watu ndio mana unaona kuna Prominent Figures Kibao tu wame groom kipindi ichi cha The Late JPM watu kama Kabudi au Mpango au Ndalichako wanakili bila JPM hizo nafasi wasingefika, Magu ana mapungufu yake kama binadamu ila he was the best kwa kweli yeye akiona tu una potential basi hasiti kukupa room regardless financial au Influence yako tofauti na enzi za Mkwere ambapo kila ulaji ulikuwa ni Connection na influence, Nina washikaji zangu ambao hawakuwa na connection yoyote ile ila katika utawala huu wamepenya kwenye super institutions za Nchi kama Hazina, BOT, Ikulu,Ofisi ya CAG Kwa keli Mzee tutamkumbuka ukiachilia ilo je ni vijana wangapi wamekuwa employed na mifumo ambayo ameanzisha yeye kama Ajira utumishi, Eeh baba nenda ila still utabaki kwenye mioyo yetu Milele
 
Sipendi watu wanao jiita WAZALENDO kumbe matapeli wakubwa nchi kwetu. Una uzalendo gani zaidi ya kulamba makalio? Rubbish.
 
Waliokuwa wanavutiwa ni wanafiki na wafikiria tumbo, siasa za kutukuza na kumuabudu binadam mwenzako tena mwenye damu na awezayo kutoweka wakati wowote?? Hizo zilikuwa siasa za maji taka Wala hazikurisaidia Taifa zaidi ya kutumia pesa zetu za Kodi vibaya.
 
Umezungumzia upande mmoja wa shilingi - vijana wengi wa upande wa pili wa shilingi hawakufikia kilele cha ndoto zao.

Hatujui sababu ya Mungu kumchukuwa mapema - hatujui nini kingetokea mbeleni iwapo angedumu kuwa Rais.
R.I.P Jemedari wetu
 
Nianze kwa kutoa pole Mimi kama Mtanzania mzalendo kwa watanzania wenzangu kwa msiba huu mzito ulilolipata Taifa letu, tumuombee mpendwa wetu awe na safari njema huko aendako AMEN.

Nirudi kwenye Maada pasipo kuwachosha sana,kifo cha Rais wetu kimekua cha kusikitisha sana na chenye simanzi nyingi hasa katika ulingo wa Siasa ukizingatia Hayati Magufuli alikua moja ya watu waliovutia vijana wengi kuingia kwenye Siasa hasahasa vijana wa kitanzania.
Rais Magufuli hakua na ubaguzi katika teuzi zake hili ndilo lililovutia vijana wengi hakuangalia unatoka katika familia gani? Au una mda gani kwenye chama? Mfano Silinde.

Vijana wengi walianza kuvutiwa na Ccm na wengi walijiunga na chama kabisa je hawa vijana kweli matumaini yao yapo kweli na hatma yao kisiasa ipoje? Jibu ni rahisi tu naona matumaini yao yamefifia kabisa ni kama wamechanga karata wakati ambao sio sahihi naongea hivi kwa sababu hata Hayati Magufuli mwenyewe alikua ana mashaka ikiwa akiondoka kama kuna Miradi itatekelezwa na hili nalichukua kama Reference mpaka kwenye uongozi ndani ya chama je utakua uelule na kasi ileile? BIG NO.

RIP.JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI
Mzalendo mchumia tumbo subiri uone Tanzania itakavyorudi kwenye umoja wake na upendo wa dhati baada ya dikteta kutangulia mbele ya haki.
 
Ni pigo kwa mke wake na watoto wake.
Mke kapoteza mume na watoto wamempoteza Dad. Kwa nchi hakuna pigo tayari tunaye raisi mwingine na maisha yanaendelea. Wakati mwingine ebu tuache unafiki.
 
Nianze kwa kutoa pole Mimi kama Mtanzania mzalendo kwa watanzania wenzangu kwa msiba huu mzito ulilolipata Taifa letu, tumuombee mpendwa wetu awe na safari njema huko aendako AMEN.

Nirudi kwenye Maada pasipo kuwachosha sana,kifo cha Rais wetu kimekua cha kusikitisha sana na chenye simanzi nyingi hasa katika ulingo wa Siasa ukizingatia Hayati Magufuli alikua moja ya watu waliovutia vijana wengi kuingia kwenye Siasa hasahasa vijana wa kitanzania.
Rais Magufuli hakua na ubaguzi katika teuzi zake hili ndilo lililovutia vijana wengi hakuangalia unatoka katika familia gani? Au una mda gani kwenye chama? Mfano Silinde.

Vijana wengi walianza kuvutiwa na Ccm na wengi walijiunga na chama kabisa je hawa vijana kweli matumaini yao yapo kweli na hatma yao kisiasa ipoje? Jibu ni rahisi tu naona matumaini yao yamefifia kabisa ni kama wamechanga karata wakati ambao sio sahihi naongea hivi kwa sababu hata Hayati Magufuli mwenyewe alikua ana mashaka ikiwa akiondoka kama kuna Miradi itatekelezwa na hili nalichukua kama Reference mpaka kwenye uongozi ndani ya chama je utakua uelule na kasi ileile? BIG NO.

RIP.JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI

Magufuli avutie vijana kufanya siasa wakati alikuwa anaongea kwa kejeli kuwa yeye sio mwanasiasa? Yeye hakuvutia vijana kuingia kwenye siasa, bali alivutia vijana kuingia kwenye siasa chafu ili wapate ajira. Angalia wengi wa wale aliowapa vyeo ni wale waliokuwa wakimsujudia na kuendekeza siasa chafu.
 
Daaaa Ila vijana nao lakini we mpaka Harmonize nae alitaka ubunge?? But all in all mzee alivutia kwa inshu ya utendaji kazi wake ile spirit but not issue ya skills za leadership.
Vijana wanafiki,wafia tumbo na waabudu mtu
 
Back
Top Bottom