Kifo cha Sokoine: Watoto wake wataka mwili uchunguzwe kubaini kama alikufa kwa ajali au la!

Hivi siku hizi siku ya wajinga imekuwa extended na kuwa mwaka mzima?
Huyu Sokoine mbona hatukusikia mazishi yake mwaka jana? Lowassa kwenda mazishini saa saba usiku tuelewe nini?
Au ndio tambiko la kuchukua nchi mwaka 2015? Utata mtupu
 
Post mortem inawezekana hata baada ya miaka mia. Lakini ikiwa wanachakachua post mortem ya maiti mbichi, itakuwaje katika mifupa? Kwa Tanzania ya sasa, hili ombi lao limetoka mapema sana; labda mpaka CCM watoke madarakani.
 
Hii habari inanichanganya. Nakiri kwamba sikuwahi kusikia kabisa habari za mazishi ya pili ya Ndugu Edward Moringe Sokoine hapo mwaka jana (sijui ni tarehe zip za mwezi upi?). N'nachokumbuka tu ni kwamba Moringe tulimzika katikati ya zizi la ng'ombe kijijini kwao Monduli na zizi likaendelea kutumika kusetiri ng'ombe kama ilivyo desturi yetu. Nakumbuka mengi yalisemwa baada ya kifo cha Moringe; ya kishirikina na ya kimafya kinyume kabisa na "post mortem report" ya madaktari. Leo ninapopata habari kama hii najiuliza maswali yafuatayo:

  1. tangu Sokoine afariki tarehe 12 Aprili 1984 hao watoto wake walikuwa wapi?
  2. Post mortem investigation hufainyika ili kubaini sababu za kifo cha marehemu si kwa malengo ya maelezo na kumbu kumbu tu bali pia ili kuchukua hatua kama kuna ushaidi wa kutosha kwamba kifo kimesababishwa na uzembe au makusudi ya mtu yeyote. uchunguzi huu ukifanyika sasa na ikagundulika kuna mazingira ya kuwa kifo kilisababishwa na makusudi au uzembe wa yeyote itasaida nini iwapo wasabishaji walishakufa miaka mingi?
  3. Mazingira mazuri zaidi ya kufanya post mortem investigation ni wakatimwili bado mbichi kikemikali. Kwa hali ya kifo hiki cha takribani miaka 29 tangu kitokee na mazingira aliyozikwa (na kuzikwa tena baada ya tetemeko) huo uchunguzi utatumia sayansi ipi?
  4. Uchunguzi huu unachochewa na nini sasa hivi na una maslahi gani kwa taifa na familia (kwa hao watoto wa marehemu?)

kupima inawezekana ata kama ingekuwa miaka 100

wamtapima mifupa DNA kugundua ni yake kweli au waliìbadili?

Watapima mifupa ilivyoharibika je ni kwa kugongwa au kupigwa risasi au kulishwa sumu kabla ya ajali. Mifupa itaonesha tu

Manufaa ya uchunguzi ni kuzuia uwezekano wa kuwa na vifo vingi vya kupangwa kwani vinatishia usalama.

Ila habari iliyopostiwa ni ya kutunga tu. Kwani watoto hao wa sokoine ni nani na nani?
Wako wapi na wanashuguli gani? Waliyasema wapi haya
 
Kuna list ya utata wakikubali hayo,watajivua nguo mara nyingine tena!hawatakubali kamwe!wakubali kuwa Mungu awalaze mahala pema peponi na wapumzike salama!
 
kupima inawezekana ata kama ingekuwa miaka 100

wamtapima mifupa DNA kugundua ni yake kweli au waliìbadili?

Watapima mifupa ilivyoharibika je ni kwa kugongwa au kupigwa risasi au kulishwa sumu kabla ya ajali. Mifupa itaonesha tu

Manufaa ya uchunguzi ni kuzuia uwezekano wa kuwa na vifo vingi vya kupangwa kwani vinatishia usalama.

Ila habari iliyopostiwa ni ya kutunga tu. Kwani watoto hao wa sokoine ni nani na nani?
Wako wapi na wanashuguli gani? Waliyasema wapi haya
Umepewa source kwanini usisome gazeti husika ukajiridhisha badala ya kudai ni uongo?
 
Hata watoto wa Chacha Wangwe, nao wanataka mwili wa baba yao ufukuliwe uchunguzwe upya kama kweli alikufa kwa ajali.
 
Sasa kama hakufa kwa ajali iweje? Ashakufa biashara imekwisha.
 
Hii habari inanichanganya. Nakiri kwamba sikuwahi kusikia kabisa habari za mazishi ya pili ya Ndugu Edward Moringe Sokoine hapo mwaka jana (sijui ni tarehe zip za mwezi upi?). N'nachokumbuka tu ni kwamba Moringe tulimzika katikati ya zizi la ng'ombe kijijini kwao Monduli na zizi likaendelea kutumika kusetiri ng'ombe kama ilivyo desturi yetu. Nakumbuka mengi yalisemwa baada ya kifo cha Moringe; ya kishirikina na ya kimafya kinyume kabisa na "post mortem report" ya madaktari. Leo ninapopata habari kama hii najiuliza maswali yafuatayo:

  1. tangu Sokoine afariki tarehe 12 Aprili 1984 hao watoto wake walikuwa wapi?
  2. Post mortem investigation hufainyika ili kubaini sababu za kifo cha marehemu si kwa malengo ya maelezo na kumbu kumbu tu bali pia ili kuchukua hatua kama kuna ushaidi wa kutosha kwamba kifo kimesababishwa na uzembe au makusudi ya mtu yeyote. uchunguzi huu ukifanyika sasa na ikagundulika kuna mazingira ya kuwa kifo kilisababishwa na makusudi au uzembe wa yeyote itasaida nini iwapo wasabishaji walishakufa miaka mingi?
  3. Mazingira mazuri zaidi ya kufanya post mortem investigation ni wakatimwili bado mbichi kikemikali. Kwa hali ya kifo hiki cha takribani miaka 29 tangu kitokee na mazingira aliyozikwa (na kuzikwa tena baada ya tetemeko) huo uchunguzi utatumia sayansi ipi?
  4. Uchunguzi huu unachochewa na nini sasa hivi na una maslahi gani kwa taifa na familia (kwa hao watoto wa marehemu?)

There is more than postmortem my friend
 
mkuu nyetk, HAPO KWENYE RED.

sayansi ya kupima kama marehemu alifariki kwa ugonjwa gani au hujuma ipo hapa duniani hata iwe ni miaka mingapi. kama ni msomi Mzuri wa historia kumbuka ugunduzi wa mwili wa farao wa kale kijana aitwae TUTANKHAMUN ambao ulizikwa karne nyingi zilizopita na kufukuliwa na ma archeologists pale the valley of kings, misri miaka kati ya 1928 - 1930s kama sikosei.

madaktari waliweza kugundua kifo chake kilisababishwa na nini na mambo mengine kadha wa kadha juu ya afya farao huyo kijana aliyetawala kipindi kifupi sana. tena madaktari wa enzi hizo mwaka 47 waliweza sembuse sasa technology imekuwa kubwa sana . kifupi hilo linawezekana kabisa mkuu.
 
Wamechelewa sana. Wametokwa imani juu ya serikali ya chama chao.
 
OOOOOOhhhhhooooo! mtatufanya tuuibe huo mwili tuwawekee mwingine!
 
Hii habari inanichanganya. Nakiri kwamba sikuwahi kusikia kabisa habari za mazishi ya pili ya Ndugu Edward Moringe Sokoine hapo mwaka jana (sijui ni tarehe zip za mwezi upi?). N'nachokumbuka tu ni kwamba Moringe tulimzika katikati ya zizi la ng'ombe kijijini kwao Monduli na zizi likaendelea kutumika kusetiri ng'ombe kama ilivyo desturi yetu. Nakumbuka mengi yalisemwa baada ya kifo cha Moringe; ya kishirikina na ya kimafya kinyume kabisa na "post mortem report" ya madaktari. Leo ninapopata habari kama hii najiuliza maswali yafuatayo:

  1. tangu Sokoine afariki tarehe 12 Aprili 1984 hao watoto wake walikuwa wapi?
  2. Post mortem investigation hufainyika ili kubaini sababu za kifo cha marehemu si kwa malengo ya maelezo na kumbu kumbu tu bali pia ili kuchukua hatua kama kuna ushaidi wa kutosha kwamba kifo
    kimesababishwa na uzembe au makusudi ya mtu yeyote. uchunguzi huu ukifanyika sasa na ikagundulika kuna mazingira ya kuwa kifo kilisababishwa na makusudi au uzembe wa yeyote itasaida nini iwapo wasabishaji walishakufa miaka mingi?
  3. Mazingira mazuri zaidi ya kufanya post mortem investigation ni wakatimwili bado mbichi
    kikemikali. Kwa hali ya kifo hiki cha takribani miaka 29 tangu kitokee na mazingira aliyozikwa (na kuzikwa tena baada ya tetemeko) huo uchunguzi utatumia sayansi ipi?
  4. Uchunguzi huu unachochewa na nini sasa hivi na una maslahi gani kwa taifa na familia (kwa hao watoto wa marehemu?)

Mwenyewe nimejiuliza why this?

Na naona Sokoine sasa kaibuka sana, kuliko miaka ya nyuma

I think nia ya urais inahusika hapa...kuna jambo the don anataka kutuaminisha na kupata sijui sympath ya watanzania, ila anajua yeye, sio bure.
 
Hii habari inanichanganya. Nakiri kwamba sikuwahi kusikia kabisa habari za mazishi ya pili ya Ndugu Edward Moringe Sokoine hapo mwaka jana (sijui ni tarehe zip za mwezi upi?). N'nachokumbuka tu ni kwamba Moringe tulimzika katikati ya zizi la ng'ombe kijijini kwao Monduli na zizi likaendelea kutumika kusetiri ng'ombe kama ilivyo desturi yetu. Nakumbuka mengi yalisemwa baada ya kifo cha Moringe; ya kishirikina na ya kimafya kinyume kabisa na "post mortem report" ya madaktari. Leo ninapopata habari kama hii najiuliza maswali yafuatayo:

  1. tangu Sokoine afariki tarehe 12 Aprili 1984 hao watoto wake walikuwa wapi?
  2. Post mortem investigation hufainyika ili kubaini sababu za kifo cha marehemu si kwa malengo ya maelezo na kumbu kumbu tu bali pia ili kuchukua hatua kama kuna ushaidi wa kutosha kwamba kifo kimesababishwa na uzembe au makusudi ya mtu yeyote. uchunguzi huu ukifanyika sasa na ikagundulika kuna mazingira ya kuwa kifo kilisababishwa na makusudi au uzembe wa yeyote itasaida nini iwapo wasabishaji walishakufa miaka mingi?
  3. Mazingira mazuri zaidi ya kufanya post mortem investigation ni wakatimwili bado mbichi kikemikali. Kwa hali ya kifo hiki cha takribani miaka 29 tangu kitokee na mazingira aliyozikwa (na kuzikwa tena baada ya tetemeko) huo uchunguzi utatumia sayansi ipi?
  4. Uchunguzi huu unachochewa na nini sasa hivi na una maslahi gani kwa taifa na familia (kwa hao watoto wa marehemu?)

1. Wakati Sokoine anafariki wanae walikuwa bado wadogo, hawakuwa na uelewa na pia hawakuwa kama ilivyo sasa.

4. Muhimu ni kujiridhisha na sababu cha kifo chake. Itasaidia kuwea historia sawa na hata inaweza kuwa fundisho kwa kizazi kijacho, kuwa uhai unathamani hivyo unapopotea /kupotezwa sio jambo la kufunika Kombe mwanaharamu apite.

Au sio chaliii
 
Post mortem inawezekana hata baada ya miaka mia. Lakini ikiwa wanachakachua post mortem ya maiti mbichi, itakuwaje katika mifupa? Kwa Tanzania ya sasa, hili ombi lao limetoka mapema sana; labda mpaka CCM watoke madarakani.

Tena washauriwe wanyamaze. Otherwise, wakifanya mchezo, hata hayo masalia ya mzazi wao kuna siku watakuta yametoweka na ndio utakuwa mwisho wa kila kitu.
 
Back
Top Bottom