Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
MaTatizo ya la bongo movie naweza nikayagawanya katia sehemu mbili kwanza ni kuchakachuliwa kazi zao kuuzwa fake na pia hizi stationary zilizopo mtaani kkodisha c.d so soko lao watengeneza filamu halikui linazidi kudumaa,so wanaingia hasara
upande wa sababu ambazo ziko ndani ya uwezo wao
ni kutokuwa wabunifu yaani kila siku movie story hizo hizo,idea hizo hizo hamna jipya hata movie za horror wanzojaribu kucheza eti maghost bado mpk leo hii wanajipaka majivu,
kitu kingine movie imekuwa sehemu ya matangazo ya trailers za movie zingine kwa kweli hii kitu inaboa sana umenunua c.d unaweka unakatana matangazo ya movie nyingine kama 10 hivi mpk unajiuliza ulikuwa unaangalia movie gani???
Alafu maeditor na directors wa movie hawafanyi kazi zao sawasawa huwezi ukakubari movie uliyoidirect dk 15 nzima anaonyeshwa mtu mmoja tu,kuna movie nimesahau jina wameonyesha dada katoka kulala,kaenda kupiga mswaki kapiga simu kwa mpenzi wake kafua then akaenda sokoni kununua vitu alafu akarudi kupika nikashindwa kuelewa logic ya kutuonyesha yote hayo walikuwa wanajaribu kutengeneza story ? Au wanatuonyesha maisha ya yule dada???
Kingine ambacho kibaya zaidi ni filamu za makundi unakuta sijui kundi linajiita mfano zubizareta sanaa arts group basi wanajikusanya wanatengeneza movie inawezekana kundi likakosa actor anayefaa katika scene fulani lakini kwa sababu filamu ni ya kundi lao basi wanampa hata mtu ambae hawezi kuigiza kibaya zaidi hawakaribishi wala hawana mpango wa kutafuta hata idea au support ya movie yao kutoka nje. Kwa sababu idea na kila kitu ni cha kundi lao ikiwemo madirector,actors na story basi katika scenario kama hiyo huwezi ona kitu katika movie.