Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
- Thread starter
- #161
JB sidhani sana, huyu ni wa apa apa ndani though na yeye ni mkali sana, Adam kuambiana anaweza kupenya kimataifa akiamua, wapo wengi sema hawafahamiki
mkuu kwa mujibu wa history ya jb aliyoitoa mwenyewe, anadai kwamba alianza acting kama mzaha mzaha vile kwa sababu aliingia kwa kusukumwa na richie richie kama sijakosea..
tuachane na hilo,
ukiangalia waigizaji wengi wa bongo movie kama jack wolper, uwoya, wema shogake aliyekuwa jela, na hata ray, wote waliingia kwenye movie kwa njia ya kusukumwa sukumwa hivi..
sasa je, unadhani hii inaweza kuwa driving force kwanini bongo movie haiendelei kwa sababu wasanii wake hawakuwa na personal spirit?..