Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ntachekwa mkuu.. hivi sasa ni saa nane mchana huku california.
Mkuu kumbe uko California box vip uko? Si kwetu sa5 asbh j2
hahahaaaa!! mkuu umenichekesha kweli! yani unanidanganya muda kabisa?
actually, huku maisha ni survival for the fittest.. the faster you fight, the higher you earn income...
per day unaweza make mpaka 300 dollars kwa mtu wa level ya elimu ya kawaida.. ni bidii yako tu.
Mkuu kumbe uko California box vip uko? Si kwetu sa5 asbh j2
Te te tee watu kama wewe mko wengi aisee! Nikudanganye ili iweje? Sydney time ni sangap saivi ha ha haa mkuu acha kudelute dignity yako banaa!
Piga box tu muzee maisha popote
mkuu upo kilolo nini?
hahaaaa!! mkuu kwani nimekataa nini?
kubeba box nayo maisha bana as long as we earn legal and satisfactory surplus income... karibu..
Mkuu nipo tu, twende kule kwenye siasa
nimeishiwa nguvu mkuu...
ngoja upepo wa CSEE results upite
Hahahahaha boss vip kwani nawe ni muhanga wa BRN? Serikali ya ccm hiyooo haya nilikuwa nimeandaa magogo ya kukushushia maana jana Dokta keshafanya yake kalenga
Mkuu si umesema nadanganya mda? What dd u mean, kuna watu wanaona kuwa nje ya tz au afrika ni ujiko kumbe ulimbukeni tu nothing HAKUNA KITU ni kama bongo tu
Ha ha ha
mi si muhanga ila kila nikipita naitwa kuulizwa serikali yangu ina neno gani juu ya hilo...
ni taharuki kubwa mkuu hali inatisha
mkuu usipanic, wala usiishi kwa mazoea..
mimi kusema niko kwa california ndo izae yote haya? actually sometimes ni ujiko kwa sababu maisha ya california si sawa na bongo!!!
hapo umedanganya umma.. california cannot be compared to bongo dar es salaam! hapa napinga sana tu!
Ha ha ha
mi si muhanga ila kila nikipita naitwa kuulizwa serikali yangu ina neno gani juu ya hilo...
ni taharuki kubwa mkuu hali inatisha
Mkuu karibu kahawa tupashe kidogo, sio kesi bana nimetumia metaphor sijatumia simile please dont quote me wrong
Mkuu karibu kahawa tupashe kidogo, sio kesi bana nimetumia metaphor sijatumia simile please dont quote me wrong
duh mkuu habari ya metaphor na simile umenikumbusha mbali enzi hizo language 2 advance acha kabisa
thanks for coffee mkuu. btw, iam not good in english like you.. nichukulie hivyo tu..
i didnt quote you wrong, but huku kwetu mtu akisema tu alikuwa/yuko kwenye developed country, basi wanaona anajiona saana! kitu ambacho sicho..
anyway, thanks for coffee..

Ha ha ha mkuu kumbe ni adv english ya sec? No idea kbs sie wengine tulisoma ma PCb hata hayana dili