Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
hayo makitu yapo language 2 kwenye uchambuzi wa vitabu...
kwanini unasema PCB haina dili mkuu?
View attachment 141033
Poa man, dah unenikumbusha last week hiyo kitu ya Us Navy toka California ilikuwa huku tukaingia kushangaa shangaa KIDDIE 100
Unaplan kuwa dokta na unaishia kuwa mwalimu, stress tu mara kutaka madent, mara salary ndogo, mara walimu ndio wanachagua ccm aaagggrrrr
mkuu hiyo ndio logistics activities.. we are there to route them throughout the world.
logistics is very wide as long as imetokea vitani... thanks for appreciation..
Hii post imebakwa, mkuu Excel dah! Kwa kweli wamarekani mko juu bana hii kitu ni military navy mwee ngoja niweke picha zingineView attachment 141034View attachment 141035View attachment 141036View attachment 141037View attachment 141038
Huyu dada huenda unamjua eh Excel
hey, wait... nani kakwambia mimi ni mmarekani?
mkuu mimi ni mkurya kutoka tarime, ni ndugu kabisa na yule jamaa aliyekuwa amechanganyikiwa mpaka akaua watu 8.
mimi sio mmarekani tafadhali, usinipaishe ndugu yangu... hayo si maisha yangu kabisa
Mkuu sasa umekubali appreciation ya nn kama we haikuhusu hii meli? Na umesema hapo juu ..'we are here to..' Ndio mana nkasema ooh labda we mzungu anaejua kiswahili
hahahaaa!! mkuu kwani philadelphia nayo huijui?
its all about logistics mkuu.. we travel all over the world.
Kuna baadhi ya wasanii wanafanya poa sana, uwa napenda sana kufuatilia bongo movies especially upcoming , ila nimegundua vipaji vya kipekee kutoka kwa baadhi ya ma under ground. Kuna Dada mmoja anaitwa Neema ndepanya na mwenzie faudhia, wako vizuri sana n they are serious kwenye game, nimebahatika kuzicheki baadhi ya movie zao kama ANNE MARRIE na KICHUPA, guys wako serious sana , it seems wameisoma tasnia ya filamu na kugundua what is needed, safi sana..
Hakika umenena warumi nami huwa najiuliza maswali kama yako juu ya Monalisa na sijui ana tatizo gani na angeweza kuitangaza Tanzania hata nje ya mipaka maana kipaji anacho kabisa.Bado nalia na monalisa tu, sijui kakosa support au ndo uvivu wa kufikiri, kwa mademu I think she is the one ambaye angeweza ku introduce tasnia ya filamu kimataifa zaidi kama lupita nyong'o... the girl she is good when it comes kwenye kucheza na camera, na ndo maana marehemu alikuwa akimtumia kwenye kila movie za ki international, achilia mbali uelewa wa lugha ya kiingereza kwa ufasaha, ukongwe na umakini alionao vinaweza kumuweka sehemu takatifu kwenye tasnia ya filamu Africa

Hakika umenena warumi nami huwa najiuliza maswali kama yako juu ya Monalisa na sijui ana tatizo gani na angeweza kuitangaza Tanzania hata nje ya mipaka maana kipaji anacho kabisa.
Pia swali hilo hilo huwa na jiuliza kuhusu Jb.
Mi nafikiri wasanii wetu wana tatizoo la kuridhika na walicho nacho ha hata kama hakitoshi na pia ni wavivu sana.
hahahaaa!! kwani hao hawawezi kuigiza kama ma-sister?
kuna element fulani ambazo inabidi wazicheze bana..
hata kale kademu lulu anatambalia nyota ya kanumba maana tangu jamaa alipokufa huyu msichana umaalufu ndo umepanda.