Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
- Thread starter
-
- #161
JB sidhani sana, huyu ni wa apa apa ndani though na yeye ni mkali sana, Adam kuambiana anaweza kupenya kimataifa akiamua, wapo wengi sema hawafahamiki
bongo movie aiendelei kwa sababu wasaniii hawajui wanatakiwa kufanya nini ,... hawapendi kuvaa uhusika haswa ... zaidi wanaangalia their outlook asionekane mzee jambo ambalo si sawa kabisa..... kingine mda mwingi kwenye mambo a kijinga kuliko kazi yaomkuu kwa mujibu wa history ya jb aliyoitoa mwenyewe, anadai kwamba alianza acting kama mzaha mzaha vile kwa sababu aliingia kwa kusukumwa na richie richie kama sijakosea..
tuachane na hilo,
ukiangalia waigizaji wengi wa bongo movie kama jack wolper, uwoya, wema shogake aliyekuwa jela, na hata ray, wote waliingia kwenye movie kwa njia ya kusukumwa sukumwa hivi..
sasa je, unadhani hii inaweza kuwa driving force kwanini bongo movie haiendelei kwa sababu wasanii wake hawakuwa na personal spirit?..
bongo movie aiendelei kwa sababu wasaniii hawajui wanatakiwa kufanya nini ,... Hawapendi kuvaa uhusika haswa ... Zaidi wanaangalia their outlook asionekane mzee jambo ambalo si sawa kabisa..... Kingine mda mwingi kwenye mambo a kijinga kuliko kazi yao
hivi vigezo vya kuigiza tanzania ni sura nzuri?
yawezekana kanumba aliondoka nayo mkuu
Hahhhhhahhha kumbeee itakuaa aliondoka nayooo Kanumbaaaa
Hahhhhhahhha kumbeee itakuaa aliondoka nayooo Kanumbaaaa
Tasnia ya filamu sahizi ni majanga matupu !
Wanawake mapunga !
wanaume mapunga !
Wengine ndo wanakaa na nyumbani kunyoana mapara !
Ndio maana wengine wamegeukia kufanya movie kwenye magazeti ya shigongo,Kanumba alikua nomaaaa
Nahis moyon wanamlaumu sana Lulu
JB sidhani sana, huyu ni wa apa apa ndani though na yeye ni mkali sana, Adam kuambiana anaweza kupenya kimataifa akiamua, wapo wengi sema hawafahamiki
Kanumba alikuwa very creative kwa kweli na nadhani wasanii wengi walikuwa wanafaidika na uwepo wake
huyo the greatest sijawahi kuona ugreatest wake
nemulo mzima weweMh hata mimi aisee,Ray bado sanaaa...!
Adam kuambiana R.I.P