Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

na baba kasema 16
sasa yupi ni yupi.

hyo nimeipenda wanakomaa na 18 birth certificate yke inaonesha 17,ilibidi adanganye make alikuwa akienda club anajatazwa kuingia,in short mnamponda lulu ila baadh ya watoa hukum wachafu kuliko lulu mh
 
Nadhani umri ndio utakao mpunguzia adhabu,maana kila mtu anamtete lulu kwa kigezo cha umri,bado bibi yake nae atakuja na umri wake,mdee atakuja na cheti na umri tofauti,ray nae hivyo
Kama vipi mahakama imwachie ila iwe fundisho kwa wale wote wapenda ngono kwa kuongeza umri ili watimize haja zao
 
Angalau umeonyesha uelewa. Wachangiaji wengi inaonekana hawajawahi kuwa na watoto na hawajui chochote kuhusu malezi ya watoto.
 
Baba ulikuwa wapi kumpa mwanao malezi mazuri?

THis is very crucial observation!.
Huyu baba alikuwa anaona picha za binti yake kwenye magazeti ya Udaku?
Picha za mwanae alizopiga na akina Ray hakuziona?
Na muda wote huo amekubaliana na kila kitu, alijua fika maisha ya mwanae.
wakati Mwanae anaishi MAISHA YA KIKUBWA kwa nini hakujitokeza kupinga maisha hayo?
How come alimwamchia mwanae mdogo mikononi mwa Simba?
Si aliona mwanaye alipofunguka kwamba SHE IS NOW 18???
Shame on his face!
Ajikalie zake Moshi aache mwanae aendelee kuishi maisha ya kikubwa!

The way the cookie crumbles....
 
kawaida sana wabongo kujishusha miaka kaseja ameanza mpira mimi mtoi washule ya msingi ye yupo makongo mi mda huu nna 26 kaseja atakwambia ana 24...MAONI YANGU LULU TUMPIME MIFUPA TU HAIDANGANYI umri
 
hakuwahi kuishi pamoja na mama lulu,what is the major reason? au alimdu then akam abandon?
 


"Nataka nikuambie (mwandishi) mwanangu atatimiza umri wa miaka 17 ifikapo Aprili 17 mwaka huu. Sasa ana umri wa miaka 16 na ni mtoto"



Baba ndio anasema mwanae ni mtoto wakati tabia zake zinaonyesha alikuwa anakaribia kuwa papa la jiji???:shock:
 
Ule ubishi wa hapa jf kuhusu umri wa lulu hatimaye wawekwa wazi na baba mzazi wa lulu bwana Michael Edward Kimemeta anayeishi mjini Moshi.



Sikumbuki kama JF tumebishania umri wa Lulu.
Tutabishaniaje swala la age ya Lulu wakati sisi sio wazazi wake?
JF tumeongelea facts and consequences of her actions.
Na facts hizi ni kwa ajili ya matendo yake, ambayo hayakuonyesha kwamba yeye ni mtoto
Kabla ya kifo cha Kanumba Lulu alikuwa anadai yeye ni mkubwa, how come awe mtoto ghafla?

Hii inanikumbusha wafanyakazi wa serikali waliorudisha umri nyuma, kuepuka kustaafu mapema....:shock:
Mkuu, iweke sawa hiii
 


Wamwongee sumu nyingine
 
kweli kifo cha kanumba kimefunika na kitaendelea hvyo. juc imagine watu wanavyonufaika na kifo chke.lol
 
baba kazidi kulikoroga...
Police...miaka 18
Lulu....miaka 17 ya cheti
Baba...16+ mpaka april 17
Credibility 0
 
Hivi huyu Baba alipomuona mwanae ameanza kuandikwa kwenye magazeti akiwa na umri wa mika kumi na nne alichukua hatua gani..aache kujishaua hapa..
Lulu kila siku alikuwa front page magazetini mbona baba alikuwa kimya??????????????????????????
 
hu mdingi anataka kutufanya kama hatujui tabia halisi za lulu.mbona mwanae wakati wamtoa kwa magazeti nusu uchi hatujawai kusikia kauli yake kukemea.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…