Umri wa Lulu ni miaka 17
Lulu kitabia ni average 17 years old Tanzanian girl.
Ukichukua wasichana 10 wa miaka 17 Tanzania likely 5.5 wameshatembea na wanume wa umri wa zaidi ya miaka 18.
Tunajadiri mambo kana kwamba hatuishi mitaa ya Tanzania.
Kwanza kuna wasichana wengi tu wanaolewa chini ya miaka 18 hata hivyo jamii imekuwa ikifumba macho au kutazama pembeni.
Tabia ya Wanaume kutembea na vibinti vidogo ni kansa ya nchi nzima sioni sababu ya kumshambulia baba LULU.
Sasa hivi kuna kansa nyngine ya Mimama kutembea na vivulana vidogo.
Sijui ni mapenzi makubwa kwa Marehemu au ni Hasira kali juu ya Lulu kuhusishwa na kifo cha Kanumba??
Wazazi wengi Tanzania na mahali pengi duniani hawajui Tabia halisi za watoto wao, binafsi sishangai baba Lulu kuto jua tabia halisi ya mwanae.
Hata kama unachunguza sana tabia ya binti yako, Ukijua ametembea na wanaume wengi utafanya nini?
Chapa fimbo?
Fukuza nyumbani?
Pambana na njemba zilizotembea na binti yako??
Namna tunavojadiri ishu ya Lulu na Marehemu Kanumba inadhihirisha wazi jinsi tunavyojitahidi kukataa ukweli kwamba kijamii na kimaadili tumeoza hata hatufai kutupwa jalalani.
babu zetu malaya
bibi zetu malaya
baba zetu malaya
mama zetu malaya
kaka zetu malaya
dada zetu malaya
sisi wenyewe ni malaya wa kutupwa.
Lakini lawama tunataka kumvarisha Lulu na baba yake eti kwa sababu tu babana binti yake wana mporomoko wa maadili
Mweee!