Amesema KANUMBA amekufa hajaacha kitu ambacho watu wasingemsahau kirahisi.. Japo kapindisha pindisha na kusema legacy ila naamini alimaanisha mtoto
Nadhani Kanumba aligusa maisha ya wengi sana ukilinganisha na akina Mzee Kipara, huenda ndio sababu wengine wanalia na kuzirai katika msiba huu! Kuna usemi wa Kiingereza unasema "Immortality Lies not in the Things you leave behind, but in the people that your life has touched! Huenda hii ndio hali inayowakumba hao wanaomlilia.