Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Hivi freemason anapofariki Mungu anaendelea kumwangazia au ndo mwîsho wa habari? Binadamu ni mti mbichi tujitahidi kujiweka tayari ki-imani maana hatujui saa wala siku! R.I.P Kanumba! Ulikuwa mwimbaji mzuri sana wa kwaya kanisani, mpiga kinanda, gitaa enzi zile.
 
Hadi mama salma analia... Duuh.. Kweli KANUMBA umetuachia majonzi.
 
Duh.. Engmtolera... Tunakuaminia.. Upload nyingine tafadhali..

Hii ndiyo raha ya JF!
 
Amesema KANUMBA amekufa hajaacha kitu ambacho watu wasingemsahau kirahisi.. Japo kapindisha pindisha na kusema legacy ila naamini alimaanisha mtoto

hagana ndugu,unapotosha watu.niko kwenye tv yangu tangu saa 4 na nhmefuatilia misa vizuri.Askofu amesema km binadamu tunatakiwa kuacha kitu cha kukumbukwa tukifa,na ndo maana umati huu umekuja kumuaga kanumba kutokana na yale aloyafanya duniani.
 
Atatufanya tukamtoe lulu polisi tukampime mimba sasa afurahi....
 
mbona unafanya kazi ya police mkuu...
pia Mwananchi hawajareport kuwa Lulu hana makosa...
post mortem kazi yake ni kujua sababu ya kifo na mechanism of death plus time of death..
most mortem haihusiki na kumjua muuaji...the postmortem report may be sent in the cort if needed.....
pia ukipata concusion(mtikisiko wa ubungo) means some amount of force or pressure has been applied to the head...
so its either Kanumba kajigonga kichwani au Kagongwa kichwani...au kasukumwa...sasa hapo ndio umuhimu wa crime scene....all the evidences can be collected there,,....Chumba cha Kanumba is a crime area...
sasa kama ujuavyo police ya Tanzania....
sidhani kama kile chumba kilifungwa kwa ajili ya uchunguzi...pia sidhani kama DNA samples like blood,hair,body fluids nk zilichukuliwa ili kujua ukweli zaidi...
my advice...let the police do their work....,
ila kwa Tanzania ni ngumu sana kufanya Forensic criminology....We drs can do Forensic Medicine ila lazima kuwe na criminologists wa forensics
nawakilisha
 
Habari nilizopata kutoka ndugu wa karibu wa lulu
zinasema dada etu amewaambia pamoja na kukataa kwenda kumzika kanumba
kwa taarifa yao ana mimba na wasimuulize ya nani....

Kwa walio karibu na kaka yetu embu tuelezeni kama kweli tuangalie tutamsaidiaje
tusijefurhia lulu kukaa nani kumbe tunamfunga na mtoto wetu...bado ana muda wa kueleza hali halisi
 
hakuna maana ya kugombana na marehemu,
tumwache aende yeke mbele yetu nyuma,
na matendo yake yatamfutata.
1Timotheo 5:24[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Dhambi za watu wengine ni dhahiri nazo zinawatangulia kwenda hukumuni na dhambi za watu wengine zinawafuata nyuma yao.
[/FONT]
[/FONT]
 
Nadhani Kanumba aligusa maisha ya wengi sana ukilinganisha na akina Mzee Kipara, huenda ndio sababu wengine wanalia na kuzirai katika msiba huu! Kuna usemi wa Kiingereza unasema "Immortality Lies not in the Things you leave behind, but in the people that your life has touched! Huenda hii ndio hali inayowakumba hao wanaomlilia.

Well said
 
Lady jaydee yuko juu. .
Profesa jay yuko juu. .
Ay yuko juu. .


Msidharau nyota ya wema sepetu! yule mtoto anapendwa acheni mchezo! nilikuwepo siku ya onyesho la diamond! for a minute baada ya tukio la pesa alikuwa kama pricess diana na mapaparazi! na audience pia! mi nasikia fahari kwa hawa niliowaandika kwa kumbukumbu zangu za haraka! nitaongeza niliyemsahau! mapungufu ya wema yapo lakini ana kitu! mastar so far ambao nilikuwa siwafuatilii lakini walipokufa nilifeel impact yao! Nyere! Michael J,Whitney, Amina c, na sasa kanumba meeen wana nyota! Anyway whitney si saana. mtima wangu ulivoumia kama the rest nlowataja!
 
Usilalie bahati ya mwenzako. Rais Gaddafi hakupata hata fursa ya kuombolezwa.
 
Kumwonea tu teenager Lulu wa watu.
Marehemu angeweza hata kutoa sauti kifo changu Lulu asihukumiwe ndo azikwe!
pole sana Lulu!
 
Ni kweli kwa mtanzania mwenye roho ya upendo lazima atamlilia Kanumba "The great". Tumehuzunika kiasi cha kutosha ila hatuna jinsi siku yake imefika Mungu amlaze pema peponi Amen.
 
wewe si ndo umesema unamtamani lulu,naona uko kwenye mikakati mizito ya kuhakikisha anatoka,keep it up
 
hakuna siri kila kitu kitajulikana ni swala la muda tu!
 
Back
Top Bottom