Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kama mimi ningekuwa kiongozi wa nchi,ningeamuru lijengwe Sanamu lenye sura ya Kanumba,kama lilivyo la Baba wa Taifa.
Jamaa kaitangaza sana Tanzania nje ya nchi. Lijengwe either Mwenge,Posta,round about ya kule Mbagala au Kariakoo,au hata Ubungo. Nitachangia mifuko miwili ya Cement.
Ni hayo tu wadau!
 

I happen to be a christian and was taught not to judge lest I be judged unless mafundisho yamebadilika pasaka ya 2012 coz sikwenda church.

Kama Kanumba alikuwa mdhambi was taught Mungu hapendi kifo cha mwenye dhambi. Ukiona upo upo hai jua Mungu kakupa chance uifikie toba maana ile hali ya kujiona mkamilifu ni dhambi tosha mbele za Mungu!
 
eti kuna tetesi simu yake iliyoleta balaa la ugomvi ilitoka kwa zitto kabwe kuna mwingine kasikia haya au ni mi mwenyewe...tutasika mengi sana wallah
 
kutokana na mafunzo ya dini niliyonayo marehemu yeyotehusemwa kwa mazuri yake na sio mabaya yake kwa imani kwamba mwenyenzimungu humpunguzia adhabu ya kaburi.sioni haja ya kumsemea kwa mabaya ndungu zangu wa jf.ni kweli kanumba kubwa.
 

Ni kweli walio hai wanajua watakufa lakini wafu hawajui chochote hana hata kumbumbuku lolote
 
Mmmh leteni hata ya chini ya uvungu wa kitanda. Lazima kwenye ukweli uongo utajitenga,huhitaji haraka ni kuwa na subira.
 
Jamani kuna tetesi zimeenea na zinazozidi kuenea kwa kasi, eti kuwa Lulu ana mimba ya Kanumba, na eti Kanumba alitaka Lulu akaitoe lakini Lulu akagoma. Je wadau habari hizi zina ukweli wowote?

Jack Daniel's at work!
 
Mama lulu aongea na wanawake live nakuomba msaada wa mwanasheria ili kumsaidia mwanaye.

Source: channel five - wanawake live
 
Du kuna wadau wengi wanataka hii kesi pengine ndio lucky chance ya kukaopoa hako katoto kakubwa.
 
Nadhani hizo movie zake za mwisho zitauzika sana.
 
du jaman haya majibu na maswali yanafaa sana kutengeneza bonge la movie.R.I.P FATHER OF BONGO MOVIE TZ
 

Hiyo ni tafsiri yako ya neno kwa neno. Tafsiri yangu ni kuwa kifo ni ukamilifu wa binadamu kwamba ni lazima kila mmoja wetu aonje kifo. Mambo ya unazikwaje na vipi ni wewe na matakwa ama utamaduni wenu.
 

Consiparancy theory,kanumba ame-act movie karibia 40,na nyingi tu kanumba kapata misukosuko we haukumbuki ile My Sins? Mbona ya kitambo sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…