Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Of course she will be cleared, kwanza hata hakutakiwa kuwa ndani anyway
Kwa lugha nyepesi alikuwa wrong place at wrong time
mkuu some madhara ya pombe kali halafu utajua
au unaweza kujaribu mwenyewe
maliza mzinga wa konyagi halafu ukimbie kisha ugombane namtu kama hujampa huyo mtu uyounayegombana naye murder case
Mkuu,
Konyagi haina hizo bana...!
TDL wako makini xana aisee!
 
Jamani huyo baba alimsusa mwanae toka yuko sekondari mpaka mama yake ndio akawa anahangaika nae kumtafutia wa kumpa ada na ninamfaham mtu aliyekuja kumkabidhi kanumba ili amsomeshe sasa kwanini apewe thamani saizi wakati wa uzima hakumjali
 
Kikubwa watu wasifike hatua ya kufanya maamuzi ya kesi hii kabla hata haijasikilizwa. Tuache polisi wafanye kazi yao na tuwe tayari kupokea maamuzi yeyote.
Nnachoomba tu haki itendeke!!.
 
Sanamu linaliwa??..linajua kulima?..mvua ikinyesha linakumbuka kujikinga au kujifunika japo kwa mwavuli?. Jua je likiwaka linatafuta kivuli?.. Na je linaweza hata kupisha gari?..Bila shaka hapana...sasa kama haliwezi jisaidia sie litatusaidia nini?.. PUNGUZA MAHABA KIJANA!
 
Inasemekana kanumba alikua na bifu kali na baba yake mzazi kutokana na mzee huyu kumnyanyasa kanumba enzi za utoto.Mzee huyo alifanya hayo kwa kushirikiana na mama yake wa kambo baada ya dingi huyo kuachana na mm yake mzazi wa kanumba.Inasemekana mzee alimuomba msamaa kanumba lakini jamaa akagoma kumsamee.Ni funzo kwetu wanaume tumaowapuuzia watoto wetu wa damu eti kwa sabbu ya kukolea na penzi jipya..Hayo yanatokea sana kwenye familia zetu.
 
Hili halina ubishi kuwa Kanumba kawafunika wasanii, macelebrety na wanasiasa wetu wote (Except Nyerere) waliotangulia mbele ya haki kwa kuzikwa na watu wengi zaidi,hii inaonyesha alikuwa anakubalika sana katika fani yake ya uburudishaji katika sanaa ya filamu.Mwenye ugomvi nae amsamehe na mwenye madeni huu ndio wakati wa kulipwa ili mwenzetu akapumzike kwa amani(kama kweli kuna mapumziko). Kilichobaki sasa ni kumuomba Mwenyezi Mungu amrehemu..Ameen
Sina ubishi kwa hilo na ninaweza kusema Kanumba sio The Great bali The Greatest. R.I.P SK
 
Ni funzo pia kwa SK kwamba 'WAHESHIM BABA NA MAMA UPATE MIAKA MINGI NA HERI DUNIANI'
 
uyo bwana ana lake jambo na hayo angeyaropoka pale msibani sijui kama angekuepo duniani mana watu tunahasira sana alafu viongozi wooote na watu wenye pesa zao wote walikuepo pale cha ajabu nini sasa akae kimya
 
Ni funzo pia kwa SK kwamba 'WAHESHIM BABA NA MAMA UPATE MIAKA MINGI NA HERI DUNIANI'

siamini kama kupewa vyombo uoshe na kuambiwa uchunge mbuzi kama ni mateso, mf mie nimelelewa na wazazi wangu wote wawili, lakini tulikuwa tunaenda kuchunga ng'ombe, tulikuwa tunapika na kukata majania ya ng'ombe wakati wa mvua. Na vyombo tuliosha sana....sa sijui na mie niibuke niwanmbie wazazi kuwa walikuwa wananitesa?
 
mimi naamini walisameheana kabla ya kifo cha kanumba.ila ki ukweli anatendwa huwa hasahau,ila anaetenda hujifanya kusahau.na ukitaka u move on,inatakiwa usamehe
 
...zamu yako ikifika utazikwa na wangapi? Kwa lipi? Kazi kwako mwana JF
 
siamini kama kupewa vyombo uoshe na kuambiwa uchunge mbuzi kama ni mateso, mf mie nimelelewa na wazazi wangu wote wawili, lakini tulikuwa tunaenda kuchunga ng'ombe, tulikuwa tunapika na kukata majania ya ng'ombe wakati wa mvua. Na vyombo tuliosha sana....sa sijui na mie niibuke niwanmbie wazazi kuwa walikuwa wananitesa?

mie tuko wanne kwetu boys wawili ma gals wawili lakini sote tumepiga deki, osha vyombo, pika n.k kwa zamu bila kujali wa kike ama wa kiume.
I think kwa marehemu kulikuwa na zaidi ya kuchunga na kuosha vyombo.
Baka anajua but hawezi ku-admit
 
Back
Top Bottom