Ndugu,
Pole kwa wazazi wa pande zote mbili (Kanumba & Lulu). Nadhani mama yake Kanumba atamsamehe LuLu kwasababu yaliyotokea yameishatokea. Kwa sasa (mpaka sasa) Lulu HANA kosa mpka pale Mahakama itakapo dhibitisha alitenda kosa aidha kwa makusudi au pasipo kujua.
Kwa kuangalia taarifa zilizopo, wote (Kanumba na Lulu) wana makosa na si jambo jema kumuhukumu Lulu kwa lolote mpaka baadae. Watanzania tumuombee Kanumba ili roho yake ilazwe panapostahili wakati huo huo tumuombee Lulu aachiwe huru ili akalijenge taifa lake.
Naamini wanasheria wenye busara watafanya kazi yao ipasavyo.
roho ngumu ya kutosamehe!
Akiachiwa lulu,tutaandamana!!
Kwa kweli hata mimi sijui polisi huwa wanafanyaje chunguzi zao hasa zile za homicide kama hii. Nilikuwa nadhani kuwa the crime scene must be controlled and protected. Lakini inaonkena kama tokea mwanzo kabisa mziba ulikuwa on the scene of crime.
Kwenye suala la kutoa habari kwenye media ndio kabisaaa. Hata wale waliokuwa authorised kutoa habari wanajichanganya. Halafu kuna hawa wanaotoa habari kwenye vyombo vya habari huku wanajua wazi kuwa hawana mamlaka ya kufanya hivyo. Sana sana wanaharibu hata uchunguzi wenyewe.
Polisi wanatakiwa wawe na plans za ku-deal na media during criminal investigations of high profile cases kama hii. Ku-relase appropriate information to the media is critical, otherwise, (and even if) the members of the media may seek out evidence and witnesses on their own. Sidhani kitendo cha ku-reveal that the suspect declined to be interview mpaka alivyoletewa psychologist was a right thing to do.
.
Msiba ulikuwaa wa kisanii zaidi....hivi hata mama mzazi aliweza kuuona mara ya mwisho mwili wa mwanae????
Hivi we ushuzi unawajuwa watu hawa?
1. Sheikh Suleiman Takadir
2. Komredi Mshume Kiate
3. Komredi Aziz Ally.
4. Nguli Dossa Aziz
5. Paul Rupia
6. Mark Bomani
7. Kamanda inchief Abdulwahed Sykes na wengine wengi?
usije tena kutoa maombi eti tumuwekee Mnara Kanumba ile hali hao niliokutajia wamelitendea makubwa taifa hili kuliko huyo mtu wako.
So kama huna cha kuandika kachukue kopo ukachambe.
Unadoubt nini? Unahakika gani kwamba hajafurahishwa na maziko ya mtoto wake kutekwa na vyombo vya habari pamoja na CCM? Unauhakika gani kwamba mila na desturi za maziko kwa mujibu wa wasukuma hazijazingatiwa? What relation is there between the dead and the living?
siamini kama kupewa vyombo uoshe na kuambiwa uchunge mbuzi kama ni mateso, mf mie nimelelewa na wazazi wangu wote wawili, lakini tulikuwa tunaenda kuchunga ng'ombe, tulikuwa tunapika na kukata majania ya ng'ombe wakati wa mvua. Na vyombo tuliosha sana....sa sijui na mie niibuke niwanmbie wazazi kuwa walikuwa wananitesa?
shukuru Mungu umelelewa na wazazi wako kabisa bt knw dt wazazi wengine wanatesa sana watoto wao hasa km hawajawazaa na bora ampe mtoto kazi bt smtm anamnyima hadi chakula do u thnk huyu mtoto atasahau? HATA KANUMBA may b alipata mateso mengi zaidi ya kazi..dont judge.siamini kama kupewa vyombo uoshe na kuambiwa uchunge mbuzi kama ni mateso, mf mie nimelelewa na wazazi wangu wote wawili, lakini tulikuwa tunaenda kuchunga ng'ombe, tulikuwa tunapika na kukata majania ya ng'ombe wakati wa mvua. Na vyombo tuliosha sana....sa sijui na mie niibuke niwanmbie wazazi kuwa walikuwa wananitesa?
Akiachiwa lulu,tutaandamana!!
Jamani huyo baba alimsusa mwanae toka yuko sekondari mpaka mama yake ndio akawa anahangaika nae kumtafutia wa kumpa ada na ninamfaham mtu aliyekuja kumkabidhi kanumba ili amsomeshe sasa kwanini apewe thamani saizi wakati wa uzima hakumjali
Tukiwa tunaendelea kuomboleza kifo cha mpendwa wetu,msanii kanumba,tutafakari maisha yake.Kanumba hakuwa tofauti sana na wasanii wetu walio wengi kimaadili.ni kweli alituburudisha,lakini hakutufuza maadili mema.
Alikuwa mfano mbaya kwa vijana kwani alifanya ngono na wasichana warembo kwa kuwahonga kuonekana kwenye runinga wakati wa kuigiza.
Alikuwa mkoloni kwa akina dada hawa.kuna msemo wa kifalsafa:WHAT COMES AROUND GOES AROUND.Kanumba amekufa kutokana na mazingira ya matendo yake yasiyofaa katika jamii. TAKE CARE!