Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,974
Nadhani kwa kuwa matukio yote yalitokea weekend... Lakini pia polisi hawajajipanga, hata leo wamefanya hivyo kuogopa kunyooshewa vidole kwa ukiukwaji wa haki za binadamu. Kiuhalali ilitakiwa afikishwa jana.Sasa mbona Lulu ameshikiliwa kwa muda mrefu zaidi?
Au walisubiri Kanumba azikwe kwanza?
+255 ndugu yangu she was buyying time to frame up a defence. hata hivyo ni haki yake.Kwa hiyo zile habari za kwamba alienda kumuita mdogo wake SK kuwa jamaa ameanguka ni uongo?
Na habari tena kwamba alimuona jamaa anaanza kulegea na kuanguka ni uongo?
Huyu mtoto kitakachokuja kum cost ni kutokuwa mkweli watu watashindwa hatat jinsi ya kuanza kumsaidia., Sidhani ka yupo serious kusema hakujua kilichotokea hadi anaondoka
underage and minority[/B] kwa Kanumba, wakili wake lazima atashikilia hapo tu.
Amesomewa mashitaka gani? Mangapi?Msaniii ambaye amejizidishiwa umaarufu ndani na nje ya mipaka yetu hasa kufuatia kuhusishwa na kifo cha msanii nguri Kanumba, bibi Elizabeth Michael almaarufu kama LULU, amefikishwa leo mbele ya pirato pale mahakama ya Kisutu. Kwa mujibu wa mtoa habari,Lulu amesema ana miaka 17.. kesi imeahirishwa mpaka tarehe 23/4/2012..
Kama kuna mtu ana habari zaid ya hizi naomba atujuze kwa uzuri tu,, maana mi nimesikia ikiishia ishia..
Souce Radio One mchana huu.
Nawsilisha wakuu