Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

kwani unashangaa nini,
yalishasemwa kuwa alikuja bongo bila issue muhimu
kama mwezi mmoja umepita, kwani alikuja kufanya nini.

jaman yasije yakahama kwa lulu yakaja kwa huyu jamaa maana wabongo kwakutengeneza story hawajambo
 
Acha kimbelembele kama tai ya msabato. Kafa,kazikwa sasa kila uchao ni habari za SK tu?
 
wadau ni kwa nini ramsey nouh,business associate na close friend wa marehemu kanumba kashindwa kuja kumzika rafki yake?

"alikuwa busy na issue zake binafsi zenye maana zaidi,kwa future yake!!"
 
Mkuu hiyo ni ndogo sana sana ya mh capt george mazula tulitumia million 2.25 hapo ondoa kuchakachua sasa sijui kwenye 1.55mill zimechakachuliwa ngapi elezea
 
Kama sio kakosea tarakimu basi sh. 1.55 millioni sio gharama za kuleta hapa watu wajadili. Sio lazima upost kitu hapa jamvini kama huna cha kupost. Gharama ndogo sana hiyo hata mikoani hizo gaharama za kawaida...

Labda ni 15.5 mill.
 
Muwe werevu kidogo basi..yaaani mnajawa na ujinga kiasi cha kuwa na mawazo ya hovyo hivi?? Kweli watanzania bure kabisa..

Kama "bure kabisa" ni tusi, basi "Bure kabisa" baba yako!!!!
 
Tunaomba kujua na rambi rambi zimetolewa jumla shillingi ngapi?
 
Tar 10 may mwaka jana gazeti moja liliandika wasanii wa filamu watauana
kwa kutafunana wenyewe.habari hizi zilipelekea baadhi ya wasaanii kuingia
kwenye tv na kukanusha habari hizi pamoja na marehemu wetu steven

pengine ni wachache waliokuwa wakijua steve anatembea na lulu
katika moja ya mikanda ya kanumba ,steve alia act kama baba wa lulu jana nilikuwa naangalia
nakutoa machozi sio sababu ya kifo bali ni kwa kilichokuwa kikimtokea lulu pasipo
watanzania kujua nini kilichopo nyuma ya pazia

tar 4january walihojiwa lulu kwenye tv moja ,akaulizwa ukaribu wake na kanumba ama steave aka
the great akakana kabisa kabisa,,baada ya muda walimuhoji steve kanumba akakana kabisa kabisa
na kusema yeye kama mzazi lengo lake ni kunyanyua vipaji vya watoto kama wakina lulul na si kuwaharibu natumaini star tv bado wanayo habari hii

leo hii sikushangaa sana kwa yaliotokea kwa mwanawetu lulu kukutwa akitembea na steve kkanumba
ni mengi yatakaliwa kimya lakini ukweli unabaki wazazi mnaowatoa watoot wenu kwenye hii fani muwe makini sana sana watu hawa ama wasanii wafilamu wajiitavyo wako radhi kukutunzia mtoto mpaka anakua akishakua kinachofanyika ni mpitiano mmoja baada ya mwingine

nasema hivi kwa machozi yakiniktoka kanumba amekuwa akitembea na lulu si kwamba akujua ametembea na wasanii kadhaa ambao bila aibu na hata kumwogopa mungu walikuwa mstari wa mbele na makoti yao meusi kubeba jeneza la kanumba..sipendi kusema mengi ila wapo watakaojua rey na kanumba waligombana kipindi fulani src ni nini??si huyo tu nasema hivi kuwaasa wazazi narudia tena tena na tena na ndio maana sikuwa sana na simanzi mpaka nilipowaona wale watoto watatu wadogo walivaa magauni meupe yana picha ya kanumba na kumuuliza mungu hivi lulu nikumbukavyo alikuwa mdogo sana sana kipindi anaanza kuigiza na kanumba alikuwa mfadhili wake sikatai alikuwa msaada nikajiuliza

hawa watoto wadogo ambao wanalia kanumba katutoka je angekuwa mzima wangekuwa umri wa lulul ni nini kingetokea???ni huzuni kubwa kubwa kwa shida za familia ya lulul kuonekana kama src ya wasanii kumpitia mmoja baada ya mwingine

ni dhahiri na si kuficha naomba tuwe wazi wasaanii wa filamu wamekuwa wakitemebeleana wenyewe kwa wenyewe na hii ni hatari kwa kuwa iwapo mmoja taondoka hata kwa bahati mbaya na ngoma ni wazi tutaanza kununua kipande pale kinondoni maalum kwa ajili ya wasanii kuwahifadhi.....

Naomba niweke wazi kuna wengi watauliza iweje leo hii lulu aseme ana miaka 17 wakati alifanya sherehe kubwa akitangaza amefikisha miaka 18 na kanumba akifadhili almost nusu ya garama kama sio nzima..tusipige kelele cheti kimepelekwa na kiko mahakamani wachen sheria iseme ..mkijiuliza sana jiulizeni iweje kanumba alitudanganya waatanzania kama si pamoja na wapenzi wake wa nje ya nchi mbele ya tv kwamba hana uhusiano zaidi ya kumsaidia lulu mdogo wetu leo .....hii lulu ameapa kusema wazi na ukweli na ndio maana serikali wanaona aibu kumficha wakijua watasaidia lakini ukweli utajulikana tu ........

Nafikiri niwa wakati muafaka kumpa nafasi na kuwaapa sapoti waheshimiwa eater bulaya na halima mdee ili wawe wanatupa ukweli nini kinaendelea kinachoeenakana kuna kificho kinataka kufanyika lakini nawapongeza kwa kuingilia kati na kusema ni lazima wafwatilie na kumsaidia huyu mtoto

ila nasikitika sana wapo wengi waliokuwa wakimnanga msibani kanumba kwa k usema afadhali ametuachia zigo letu na mmoja wao ni mmoja wa wasanii na lishiriki kubeba jeneza la kanumba hii ni taarifa tu ....wakati tukitoa sifa basi tuweke na ukweli ili wasanii wengine wajue kumbe kwenye filamu nini kinaendelea

binafsi sina tatizo kutembea na msanii mwenzako ,ntakuwa mtovu wa nidhamu kuuliza kwa nini Kanumba alitembea na WEMA,hao ni wakubwa na wala atuitaji kujua zaidi...tatizo ni iweje mnawakuza watoto na kwakati mwingine mnawagarimia mkijua miaka yao midogo na kuanza kutembea nao ..swala je llulu atusaidie kwa hili

Ndugu zangu kimeniuma sana sana sana katika moja ya statement za Steve kanumba kwamba amefanya mambo mengi amewanyanyua watu kadhaa katika majina 4 aliotaja ikiwamo lulu na wema wote walikuwa mabibi zake na wote aliwaingiza wakiwa chini ya miaka 18..tusifikirie tu kumfunga lulu tujiulize je Kanumba angekuwa hai leo lulu amepeleka cheti ana miaka 17..kanumba angekuwa wapi..aibu hii angeipeleka wapi???

raha ya milele umpe ee bwana ana mwanga wa milele umwangazie uncle steve apumzike kwa amani

ameni
 
unajua mtu kama kanumba anapokufa , wafanya biashara hapo ndipo wakati wa kutengeneza pesa sana. hutengeneza survenil nyingi kwa muda wa wiki moja za kusubiri mazishi na kuuza kwa waombolezaji. utakuta vikombe vya chai vyenye picha ya marehememu. T shirts,paper towels na pen za kaundikia. hapa bongo akili hiyo hatuna.
 
mbona umeng'ang'ana sana na "ningefurahi"...uliwashikia miguu ama?

Hata mimi ninashangaa mtu anavyong'ang'ania "angefurahi" mimba (kama ipo) ni ya Lulu na kama ni ya Kanumba au si ya Kanumba sidhani kama wewe inakuhusu kwa namna yeyote ile hadi ikutengenezee furaha ya aina yeyote ile
 
Nikiwa kama mzazi na mshabiki wa sanaa nchini, sipingani na hoja zako. Ila kama ni kweli haya yapo, basi ujumbe muhimu umewafikia.
 
naungana na wewe kanumba namchukulia kama mbakaji

aliwahi kutembea na mtoto wa brother wangu Silyvia mtoto

akawa hasikii lolote toka kwa mzazi Kanumba alivyofuatwa

kupewa onyo alijibu jeuri sasa yamemkuta anavuna alichopanda
 
Back
Top Bottom