Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Haya maneno aliyaandika akiyazingatia au ndo yaleyale ya 'fuata ninayosema usifuate ninayofanya'?
 
Duh inaumiza coz hiyo cheni itawaua wengi hata kwenye mitaa ya Mjengon hapakos mambo maana pesa za kumwagwa mpaka wanachoshwa wanalala mjengon. Mimi najal je wewe?
 
Naombea awe alitubu dhambi zake muda mfupi kabla hajakata roho
Zis iz e bigi jok, yaani kumbe huko kwene dini zenu mnaruhusiwa kuharibu ili mradi tu utubu kabla hujafa halafu unaenda ze so kold peponi.?!
 
mbona umeng'ang'ana sana na "ningefurahi"...uliwashikia miguu ama?
ni kosa kufurahia mafanikio ya wengine coz kwangu hayo hilo ni moja kati ya mafanikio kama ingekuwa kweli, ni maoni yangu tu mkuu, natumia haki yangu ya kikatiba
 
Hata mimi ninashangaa mtu anavyong'ang'ania "angefurahi" mimba (kama ipo) ni ya Lulu na kama ni ya Kanumba au si ya Kanumba sidhani kama wewe inakuhusu kwa namna yeyote ile hadi ikutengenezee furaha ya aina yeyote ile
jaman kufurah sio kosa wakuu, vp heb punguzen hasira.....
 
Mimba yake ila alitembea nae mpaka kupata huo uja uzito (kama upo kweli) ndio mashaka. Kuna tetesi jitu kubwa la kuimba nalo limo humo. mama kanumba itabidi aweke vfaa vya Kanumba vizuri kwa ajili ya DNA. Wengi watatokea kudai wana mtoto na Kanumba kwa ajili ya kutaka mali. Mwingine tumesikia jana kanywa sumu akitaka kujiua kaokolewa kwa ajili ya Kifo cha Kanumba, subiri umsikie ayakapohojiwa chanzo cha kutaka kujiua.
Ni kweli tutasikia mengi coz kuna mdada mwengine nae kajitkeza anajiita pascalia macha nae anadai mtoto aliye nae ni wa kanumba,
 
Halafu, hivi mbona karibu viongozi wooote wakubwa wa kiserikali sijamsikia hata mmoja kuzungumzia japo kidogo upande wa pili wa kifo hiki yaani juu ya Kanumba (RIP) kuwa na katoto kabla ya kifo chake?? wote wameishia kutoa hongera tu kwa kazi zake alizokuwa anafanya.....
 
THE late Steven Kanumba predicted his own death in his film titled ‘Power and Love’ which is yet to be released to the public, his Chief Cameraman has said.The local film star died on Saturday of brain concussion, which means brain injury that was caused by a sudden blow on the head. One of the doctors at the Muhimbili National Hospital (MNH) who participated in the autopsy said due to brain injury, the film icon died on the spot.On Friday night the late Kanumba was in the company of his girlfriend Elizabeth Michael popularly know as Lulu, who was arraigned on Wednesday. Speaking to ‘Daily News’ yesterday, Zakayo Magulu who also doubles as a film Editor and Assistant Director said the last scene of the film where Kanumba dies, is exactly the way he died in real life, was previously not in the original script.The last scene of the original script of the film ‘Power and Love’ was to have him seen walking along a lonely road feeling sad, after a dispute with the woman he loved in the film. “Kanumba said, the ending was not mesmerizing, thereby proposing a scene where he would be pushed by the woman he loved and die in the process,” Mr Magulu said.Expounding on the ‘Power and Love’ film, Mr Magulu said Kanumba donated his kidney to a woman, ‘Irene Paul’ whom they had fallen in love. Later on in the film, the woman, Irene Paul, goes back to her previous boyfriend; a dispute ensued prompting the woman to push Kanumba and he dropped dead. Mr Magulu said the same friend who went to see Kanumba when he died in the film whom he identified as Kupa, was also there when Kanumba was being taken to the mortuary in real life.The same doctor, whom Mr Magulu identified by one name, Pancras who was also in the film to examine Kanumba when he was pushed by the woman he loved and died, was the same doctor who was called to examine the late icon, when he was pushed by his girlfriend, fell down and died in real life.“Everything happened just like it was in the last scene of the Power and Love film,” he explained. He said 60 per cent of the Power and Love film has been edited already and another film ‘Ndoa Yangu’ produced by Kanumba is ready. Mr Magulu said other arrangements including management of the Kanumba The Great Film Company and distribution of the films are awaiting decisions of the late actor’s family.


http://dailynews.co.tz/index.php/local-news/3957-kanumba-predicted-his-death-cameraman
 
Songíto;3653237 said:
mkuu je wewe u msafi mpaka uanze kumnyooshea kidole mwenzio? na kama sio mbona hujafa? kwa kawaida mtu akifa mengi husemwa, kwa kuwa kanumba ni maarufu basi kusemwa huongezeka mara dufu...mimi naamini mimi na wewe ni wadhambi sawa na yeye tu, ni neema ya maulana tupo hai sasa, so si vema kusimama katika nafari ya mungu kutoa hukumu.... leo yeye kesho mimi nawe, maana kila nafsi itaonja umauti
tumkumbuke mwenzetu kwa mema aliyoyafanya, kazi ya kuhukumu tumuachie Mungu, hakuna aliye mkamilifu mkuu
 
ya tabia ya kanumba mwachie mungu, yy ndio ataamua kama alikuwa na maadili or not, na ya lulu iachie mahakama,
 
ni maneno mazuri sana lakin je yanatoka moyoni? au yalitoka moyoni? na je uliyaandika kwaababu ya hisia au ni kwasababu ultaka kuelimisha watu? manake kama aliyaandika kwasababu ya hisia zake juu ya jambo fulani alilotendewa na mtu, hatufundishi bali anatuonyesha jinsi alivyoumizwa na anatushirikisha kwenye fadhaa zake. na kama aliandika ili kutuelimisha tu basi maneno haya yafaa sana kwa mafundisho, hasa wakati huu ambapo upendo katiya mtu na mtu haupo.
 
Alikuwa ziarani Canada... Walialikwa yeye na Mercy Johnson kwenye Tamasha la filamu.............. i hope mnamkumbuka Mercy wadau, ali-act na Kanumba movie kama tano hivyi;

1. She is My Sister
2. Cross My Sin
3. Dar to Lagos etc
 
Mambo mengi yalizuka na yapo kuhusiana na wasanii wetu na watu maarufu kuwa wanachama au waumini wa freemasons....Majuzi alizuka mtu mmoja clouds fm kwenye kipindi cha njia panda akidai yeye alikuwa freemasons Samwel amesema alikimbia na kujiondoa kwenye dini hiyo inayodaiwa kuwa ya kishetani baada ya kutoka gerezani huko Afrika kusini, Samwel anasema amewahi kwenda kwenye kanisa la FREEMASON hapa Dar es salaam Posta mara moja tu na kukutana na watu kadhaa maarufu wabongo.....alisema kuna msanii mkubwa huwa anakuja pale na PRADO ila hawezi kumtaja.....sikilizeni mfululizo wa vipindi vyake kwa wiki 3 HABARI NA MATUKIO: MAHOJIANO YA BW. SAMWELI TENGA AMBAYE ALIKUWA MWANACHANA WA FREEMASONS KATIKA KIPINDI CHA NJIA PANDA YA CLOUDS FM, JIJINI DAR

sasa kumezuka maneno ambayo yanadai hayati kanumba alikuwa mshiriki wa freemasons.....kumbuka hapa hatujadili maisha yake ila tunaelimishana na hakuna haja ya kujadili maisha yake.....kama wewe ni mvivu wa kusoma vitabu au kufanya utafiti basi kimbia hapa.....
Kama mliona mwili wa kanumba jenezani una Picha akiwa kwenye Jeneza tazama mambo yafuatayo. Upande wa Kushoto Kifuani amevaa Beji fulani pana, Lakini Pia amevalishwa Medani fulani ya Njano Shingoni, na aina ya Suti.Ni kitu kidogo ukiangalia kwa haraka haraka......

tafuta Masonic Funeral Pictures mfano kama hii inaonesha Masonic akina Jay z Wakiwa kwenye Msiba na suti zao.Kuna vitu vingi vinaweza tupa majibu badala ya maswali, aina ya suti, beji, medani etc.
jayz_masonic_church_service.jpg

Jay z wa sita toka kushoto mstari wa pili.....inasemekena ilikuwa ni masonic church funeral services
Mfano Medali aliyozikwa nayo Mcheza Filamu Maarufu yenye Mkanda wa Njano ni ya ZIFF kama,ukichunguza Ile Medali ina Umbile Gani...The five-pointed star, known as the pentagram, is probably the most blatant occult symbol in use today. Witches Janet and Stewart Farrar explain that the five-pointed star is "one of the main symbols of witchcraft and occultism in general" ('Hidden Secrets of the Eastern Star' p. 82). The star itself is known by different names throughout the occult world, such as a witch's foot, a goblin's cross, a wizard's star and the dog star. Wiccan witches use its five points to mystically represent the elements of nature, earth, fire, water, air and spirit.

This symbol is one of the most prominent emblems within Freemasonry, though its significance, like every symbol inherited from the occult, is concealed behind a smokescreen of secret society ambiguity.

Hii Hapa Ndio Medali ya ZIFF aliyopewa na Amezikwa nayo tazama kule mbele kuna nini alama gani
MP2.jpg
 
Hapa JF tunatofautiana sana uelewa na inabidi tu tuwe tunsaidiana kwa baadhi ya mambo
1.Lulu ni under 18 hivyo hawezi kupelekwa Kinondoni wakati Juvenile Court iko Kisutu hiyo ni mantiki ya kawaida tu ya kwanza
2. Kwanini polisi walificha taarifa za kupelekwa kwake mahakamani ni mantiki ndoto tu ya pili kuwa kama siku ile ya mazishi watu walifurika kupita kiasi baadhi ya shughuli zikakwama na bado wanahasira ya kushindwa kuaga mwili, katika akili zao wameshamhukumu Lulu, wanaweza hata kuhamishia hasira zao mahakamani kwa mtuhumiwa kwa kiwango ambacho polisi hawakujiandaa. Ili kuepusha shari ni dhahiri inabidi kupunguza publicity lakini bila kuingilia mwenendo wa shauri lenyewe jambo ambalo wamefanya
3. Kwa tunaoyajua mambo hata huko Segera wala hakupelekwa na usishangae watu kufurika huko wakijifanya ndugu kupeleka msaada ili tu waweze kupata habari zake BUT I assure you mtapata wakati mgumu tu.
4. Subira yavuta heri, kesho tu litatokea jingine tutasahau hili lakini tusikimbilie kusema kuna mtu kigogo wala nani hata kama alipiga simu kwani ni dhambi kuongea na mtu, hata kama aliamrisha amuue kanumba katika jinai ya hivyo tunaangalia nani alicomit murder hatimaye. so tutangulize logic za kawaida kabla ya kupost mambo ya kuhisi
 
Zis iz e bigi jok, yaani kumbe huko kwene dini zenu mnaruhusiwa kuharibu ili mradi tu utubu kabla hujafa halafu unaenda ze so kold peponi.?!

Kuna dini ambayo hakuna kutubu wala kusamehe? What about Mungu ni mwenye huruma?
 
Back
Top Bottom