Mambo mengi yalizuka na yapo kuhusiana na wasanii wetu na watu maarufu kuwa wanachama au waumini wa freemasons....Majuzi alizuka mtu mmoja clouds fm kwenye kipindi cha njia panda akidai yeye alikuwa freemasons Samwel amesema alikimbia na kujiondoa kwenye dini hiyo inayodaiwa kuwa ya kishetani baada ya kutoka gerezani huko Afrika kusini, Samwel anasema amewahi kwenda kwenye kanisa la FREEMASON hapa Dar es salaam Posta mara moja tu na kukutana na watu kadhaa maarufu wabongo.....alisema kuna msanii mkubwa huwa anakuja pale na PRADO ila hawezi kumtaja.....sikilizeni mfululizo wa vipindi vyake kwa wiki 3
HABARI NA MATUKIO: MAHOJIANO YA BW. SAMWELI TENGA AMBAYE ALIKUWA MWANACHANA WA FREEMASONS KATIKA KIPINDI CHA NJIA PANDA YA CLOUDS FM, JIJINI DAR
sasa kumezuka maneno ambayo yanadai hayati kanumba alikuwa mshiriki wa freemasons.....kumbuka hapa hatujadili maisha yake ila tunaelimishana na hakuna haja ya kujadili maisha yake.....kama wewe ni mvivu wa kusoma vitabu au kufanya utafiti basi kimbia hapa.....
Kama mliona mwili wa kanumba jenezani una Picha akiwa kwenye Jeneza tazama mambo yafuatayo. Upande wa Kushoto Kifuani amevaa Beji fulani pana, Lakini Pia amevalishwa Medani fulani ya Njano Shingoni, na aina ya Suti.Ni kitu kidogo ukiangalia kwa haraka haraka......
tafuta Masonic Funeral Pictures mfano kama hii inaonesha Masonic akina Jay z Wakiwa kwenye Msiba na suti zao.Kuna vitu vingi vinaweza tupa majibu badala ya maswali, aina ya suti, beji, medani etc.
Jay z wa sita toka kushoto mstari wa pili.....inasemekena ilikuwa ni masonic church funeral services
Mfano Medali aliyozikwa nayo Mcheza Filamu Maarufu yenye Mkanda wa Njano ni ya ZIFF kama,ukichunguza Ile Medali ina Umbile Gani...The five-pointed star, known as the pentagram, is probably the most blatant occult symbol in use today. Witches Janet and Stewart Farrar explain that the five-pointed star is "one of the main symbols of witchcraft and occultism in general" ('Hidden Secrets of the Eastern Star' p. 82). The star itself is known by different names throughout the occult world, such as a witch's foot, a goblin's cross, a wizard's star and the dog star. Wiccan witches use its five points to mystically represent the elements of nature, earth, fire, water, air and spirit.
This symbol is one of the most prominent emblems within Freemasonry, though its significance, like every symbol inherited from the occult, is concealed behind a smokescreen of secret society ambiguity.
Hii Hapa Ndio Medali ya ZIFF aliyopewa na Amezikwa nayo tazama kule mbele kuna nini alama gani