Kanumba amekwenda na watu wote makini kama CHADEMA hawataacha kumlilia kijana mhangaikaji na mtafutaji kama Kanumba. Tutamlilia Daima. Hata hivyo jambo la kujiuliza ni kwamba Kanumba si amekufa na je hata asingekufa sasa mwisho si angekufa tu? Jambo la msingi na la busara hapa sio kusema na kujiuliza kuwa Kanumba amekufa bali amekufaje?. The way alivyokufa. Kumbukeni "If we must die let us not die like hogs" Aina ya kifo haishbihiani na mtu aliyekufa. By the way, MUNGU ailaze roho ya Marehemu Kanumba mahali pema peopni. AMEN
