Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Ooh Halelujah kanumba you deserve this! RIP roho inauma sanasana. .
 
Anajuaje ajazaa nje huyo mchungaji nae....mbona hivyo embu ngoja nikaangalie vyyo vyao vya kunesa hapa leaders
 
Kwani ubongo unaweza kutikisika bila kutikiswa na mtu? Haya maelezo bado yanahitaji ufafanuzi zaidi wa kitaalamu.
Ubongo unatikiswaje?

Was asking myself maswali kama haya.
Na kwa nini siku zote haujatikisika iwe siku hiyo at at that particular time?
 
Nampongeza mtoa mada, kinachoendelea pale Sinza na Leaders club ni ujinga mtupu. Serikali imepoteza mwelekeo
 
Kanumba aliokota jamii ya watu wasio wasomi.Watu wanaoshindwa
Kuangalia movie za kizungu kwa sababu hawaelewi.Mimi binafsi sijui
Hata title ya muvi yake yoyote,na yoyote ya kibongo.Nikijaribu
Kuangalia nashindwa,upuuzi mtupu na aibu.I can do better if I have to act.
Wanaompenda kwa usanii ni hao ambao shule yao haitoshi kuelewa dunia
Inaendaje,Kanumba ndi role modal wao,Mkombozi kwenye burudani.

umenena na umenisaidia kuandika hata mie sijawah kuangalia movie za marehemu kwa dhamira yangu.
Niliangalia kwenye basi au napita somewhere nikaikuta.
Sikuwah kupenda movies za mahaba mwanzo mwisho jamaa alipendwa na wasiojua aisee!
 
Nadhani Kanumba aligusa maisha ya wengi sana ukilinganisha na akina Mzee Kipara, huenda ndio sababu wengine wanalia na kuzirai katika msiba huu! Kuna usemi wa Kiingereza unasema "Immortality Lies not in the Things you leave behind, but in the people that your life has touched! Huenda hii ndio hali inayowakumba hao wanaomlilia.
 
Laiti yangejulikana muyafanyao sirini wachache sana wangezikwa na makanisa! kwani uyo binti alikuwa ndani ya nyumba ya kanumba ni dhambi? ni msanii mwenzie pia kumbuka! kama unaamua kuleta siasa. . walikuwa wanaandika script. .
 
Sasa ilikuaje na kuchakachua namna hiyo ameshindwa hata kuacha katoto?labda haka kallulu katakua kameshika
 
Yaah.. Sanaa yake itakumbukwa daima. Naona kuna viongozi wengi kidogo. Hadi vick kamata.
 
Mungu wangu,hata siamini kama Kanumba kafariki..R.I.P Kanumba!!
 
asante sana please endelea kututumia nasi tujisikie tumeshiriki
 
We did not need Kanumba (RIP) to teach us any of these stuffs.

In several interviews, Kanumba (RIP) pointed out he was not using any kind of alcohol

the guy he was smart ... alijua kuna audience ambao ni watoto .. yeye kama kioo cha jamii ilibidi aongee hivo... kwamba hatumii kilevi.. even though mi najua ni kamba.. ila nilimpa bravo for that.
 
usibabaike na sura pima oili mkuu utachoka.
 
Naona bongo zetu tukiwaza sana zinatikisika....mbona basi tutakufa wengi humu ndani kama kanumba. ngoja niache kujibu hii hoja ubongo wangu usishake.

ha ha sio utani kwa staili hy hatutabaki hata moja wote tutakufa kwa kutikisika ubongo
 
Back
Top Bottom