Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Hakuna kinachothibitisha hapo kuwa alijua kuwa atakufa!.
After all, we hujijui kuwa utakufa..this is common to all humans!
 
Ningeshauri kwenye masuala ya msiba tusiingize itikadi. Kanumba kafa acha azikwe then siasa zishike mkondo wake. Si vizuri kuingiza mambo ya magamba kwenye majonzi
 
nashangaa sana sana kuona television ya taifa ikimwonyesha yule mwasherati mkubwa Kanumba ambaye alikuwa anafanya uzinzi na watoto wadogo kama lulu,viongozi wa hii nchi ni ovyo kabisa kwanza rais na waziru mkuu kwenda pale kwenye msiba ni kwamba hawajui tabia za huyu mtu au wanafanya makusudi??huyu alitakiwa ashtakiwe kabla hajafa huyu,ovyo kabisa
 
katika hali isiyo ya kawaida kwa wale ambao wamesikia wimbo wa kanumba.katika wimbo ule kasema akifa watu mtasema nani pengo ataliziba.maadui wake watabeba jeneza lake. yeye ni mmoja hawezi pigana na watu 1000. je hii alijua atakufa?


Ndio alijua
kwani wewe hujui kuwa utakufa?

au ulikuwa unatakakusema nini?
 
Waswahili bwana - yaani legacy kubwa ya kuacha duniani ni watoto tu? Akina Newton, Einstein, Galileo, Lincoln, JFK, Hitler, Washington, Alexandra, Nyerere, Bruce Lee, Bob Marley nk hatuwakumbuki kwa kuwa walivunja rekodi za kuwa na watoto!
 
from UpToDate Inc....
Second impact syndrome - Diffuse cerebral swelling is a rare but generally fatal complication of mild head injury. The cause is hypothesized to be disordered cerebral autoregulation causing cerebrovascular congestion and malignant cerebral edema with increased intracranial pressure. The term "second impact syndrome" is used when diffuse cerebral swelling occurs after a second concussions.Some have suggested a similarity with this phenomenon and the shaken baby syndrome.
The second impact syndrome is a rare and somewhat controversial complication. It is unclear why this is not a more frequently reported occurrence in boxers who seem at very high risk for repeated concussions within a short time span.
A 1998 review of the 17 published cases to date revealed that in 12 of these cases, there was insufficient documentation of a second impact and/or cerebral pathology such that the diagnosis of second impact syndrome seemed questionable
 
Nimesikia huo wimbo...sauti ni kama ya SK hivi kweli wimbo huo uliimbwa naye au ni wasanii wa muziki wametunga kumuenzi SK?
 
mwacheni afe kwa sababu ana kesi ya kujibu huko aendako,lulu shes under 17 man!!
 
Halafu kilichowafanya mprove anakunywa ni kipi? this is total ****! mi mwenyewe kwa unywaji wangu siwezi sema nakunywa naonja! hakuwa mpenzi wa pombe but may be siku mojamoja akiamua anakunywa yani mnataka kuniambia kwa nyie wanywaji kweli unaweza kaa mahali bila kunywa? sasa kwa mtu asiyekunywa inawezekana! kuona chupa moja ya mvinyo chumbani kwa kanumba haimaanishi alikuwa mnywaji! cammon pple!

Ficha upumbavu wako, ila usifiche hekima zako Gagulo wewee...
Ukishaonja umekunywa.
Ndio maana waislam wanakatazwa kuonja kitimoto coz watakuwa wamekula.
 
RIP Kanumba sasa ndio naamini kweli kijana ametutoka.
Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe.
 
Eti Wema.
Adam haya mawazo sijui unatoa sayari gani.
 
Kumbukeni kuwa, Mungu humwacha shetani atende kazi zake kwa wale wasiomtii YEYE! kifo cha mtu si mapenzi ya Mungu,

"WAWE NA UZIMA, WAWE NAO TELE!!!!!" imetoka kwenye Biblia kitabu gani! kaulize kakobe :yell:
 
nashangaa sana sana kuona television ya taifa ikimwonyesha yule mwasherati mkubwa Kanumba ambaye alikuwa anafanya uzinzi na watoto wadogo kama lulu,viongozi wa hii nchi ni ovyo kabisa kwanza rais na waziru mkuu kwenda pale kwenye msiba ni kwamba hawajui tabia za huyu mtu au wanafanya makusudi??huyu alitakiwa ashtakiwe kabla hajafa huyu,ovyo kabisa

Mmmmmmmmh_anyway r.i.p Kanumba.
 
Back
Top Bottom