Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiangalia umati ulioenda msiban na idadi ya vigogo,watu maarufu,na maskin,jamaa nyota imeongezeka maradufu baada ya kifo,kazi zitazidi kuuzwa
*Najiuliza ni msanii gani tena bongo mwenye mvuto kama huu
1.bongo fleva
2.mpira wa miguu
3.maigizo
4.kikapu
5.nk
Au wanajamv mnazani kitu gani kimewavutia wengi katika msiba wa Kanumba
siku zote nilikuwa namtetea wema kuwa anaonewa na mambo mengine kama alivyo dhalilishwa na diamond lakini nimegundua yule msichana hayuko sawa.
Leo nimesoma kwenye gazeti flani katika mahojiano na gazeti flani wema akidai kwamba hakuwai kuachana na kanumba na kwamba walikuwa na mapenzi ya kisirisiri kwa kuwa kila mmoja alikuwa na mtu wake tayari.
Sasa nimebaki najiuliza kulikuwa na umuhimu gani wa huyu binti kusema haya kama si kuonesha jinsi gani alivyo malaya.
Na hata kama ni kweli kwanini aje kuyasema leo ambapo kanumba anaitwa marehemu kwanini asingeyasema akiwa hai.
Huyu dada ni mpuuzi na mpenda sifa za kijinga.
Mzee hajamtendea mwanae haki,
we umetunga wako au matusi ndo una maanisha?
Mh nilikuwa nasubiri mtu aanzishe huu uzi maana kwenye twitter nafasi ni fupi sana ya kupost.
We are all not sure kama Lulu ndiye alimuua Kanumba. kuwa nae chumbani haimaanishi kuwa ndo muuaji. Biology nilisoma kidogo ila sijawahi kusikia eti ukigonga kichwa kwa kitu kigumu kama ukuta basi unatoa mapovu. Mapovu yanahusiana na kula au kunywa (Drs wanaweza kusaidia hapa kwa technical terms).
Kuna maswali ya msingi hapa.
1. Lulu aliletwa na nani kwa Kanumba
2. Lulu alikuwa anaongea na nani kwenye simu iliyoleta huo ''ugomvi'' na Kanumba?
3. Alipokimbia aliondoka na usafiri gani wakati yeye ndo alimwambia mdogo wake kanumba kuwa kaka yako kaanguka?
4. Ray alikuwa na bifu na kanumba la mda mrefu na alimuahidi eti watamalizana kiume, na sasa ray anasema alipopigiwa simu alikuwa jirani na muhimbili. alipigiwa simu na nani na alipigiwa simu kama nani wakati hawakuwa marafiki wa karibu tena?
kwa nchi yetu ambayo haki ya mtu inaweza ikauzwa ili apewe mwingine, Lulu lazima apate msaada wa kisheria ili aweze kufunguka katika kumtafuta muuaji halali wa Kanumba. Kuwa nae ndani haimaanishi ndo muuaji ila kwa kuwa alikuwa eneo la tukio lazima aisaidie polisi mpaka ukweli ujulikane.
Zitto na Halima wamefanya vizuri na nawaomba mama Bisimba na Usu malya nao wamsaidie huyu mtoto.
Anahitaji msaada wa kisaikolojia maana kampoteza mpenzi wake na hili tukioo ni kubwa sana kwa umri wake na mazingira yalivyotokea.
With a fair trial to Lulu, the truth will be revealed and it may surprise us all