Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Miss drama queen! Nimesoma mahala kazimia msibani kapelekwa hosp! Hii ngoma nzito haswaa!
Nitaongea na babu odm amue mke mdogo labda atatuliza ruhani lake.
 
Ukiangalia umati ulioenda msiban na idadi ya vigogo,watu maarufu,na maskin,jamaa nyota imeongezeka maradufu baada ya kifo,kazi zitazidi kuuzwa
*Najiuliza ni msanii gani tena bongo mwenye mvuto kama huu
1.bongo fleva
2.mpira wa miguu
3.maigizo
4.kikapu
5.nk
Au wanajamv mnazani kitu gani kimewavutia wengi katika msiba wa Kanumba




Kila mtu na mtazamo wake,lakini kwangu sioni yoyote zaidi ya The Greater. Labda niambie wanasiasa,nitamtaja Zitto. Sio bora sana,ila mvuto wake unakaribiana na Steve ndani ya jamii.
BURIANA THE GREAT 4REAL !
 
siku zote nilikuwa namtetea wema kuwa anaonewa na mambo mengine kama alivyo dhalilishwa na diamond lakini nimegundua yule msichana hayuko sawa.
Leo nimesoma kwenye gazeti flani katika mahojiano na gazeti flani wema akidai kwamba hakuwai kuachana na kanumba na kwamba walikuwa na mapenzi ya kisirisiri kwa kuwa kila mmoja alikuwa na mtu wake tayari.
Sasa nimebaki najiuliza kulikuwa na umuhimu gani wa huyu binti kusema haya kama si kuonesha jinsi gani alivyo malaya.
Na hata kama ni kweli kwanini aje kuyasema leo ambapo kanumba anaitwa marehemu kwanini asingeyasema akiwa hai.
Huyu dada ni mpuuzi na mpenda sifa za kijinga.

wema tuendelee kumwombea ili arudi kundini kwa Kristu Mungu wake..............
 
La muhimu apumzishwe kwa amani, tuzidi kumuombea kwa mola. Yeye kamaliza safari yake.Fikiria wewe je?
 
watafatilia kinafiki kwa visingizio vya kumuhenzi kanumba! moyoni hawana utu.
 
Daily News!!? which page is that? nimesoma hayo magazeti jana na leo... n why only daily news? embu tufikirie cha kutunga jamani kabla ya kuandika
 
Mh nilikuwa nasubiri mtu aanzishe huu uzi maana kwenye twitter nafasi ni fupi sana ya kupost.
We are all not sure kama Lulu ndiye alimuua Kanumba. kuwa nae chumbani haimaanishi kuwa ndo muuaji. Biology nilisoma kidogo ila sijawahi kusikia eti ukigonga kichwa kwa kitu kigumu kama ukuta basi unatoa mapovu. Mapovu yanahusiana na kula au kunywa (Drs wanaweza kusaidia hapa kwa technical terms).
Kuna maswali ya msingi hapa.
1. Lulu aliletwa na nani kwa Kanumba
2. Lulu alikuwa anaongea na nani kwenye simu iliyoleta huo ''ugomvi'' na Kanumba?
3. Alipokimbia aliondoka na usafiri gani wakati yeye ndo alimwambia mdogo wake kanumba kuwa kaka yako kaanguka?
4. Ray alikuwa na bifu na kanumba la mda mrefu na alimuahidi eti watamalizana kiume, na sasa ray anasema alipopigiwa simu alikuwa jirani na muhimbili. alipigiwa simu na nani na alipigiwa simu kama nani wakati hawakuwa marafiki wa karibu tena?

kwa nchi yetu ambayo haki ya mtu inaweza ikauzwa ili apewe mwingine, Lulu lazima apate msaada wa kisheria ili aweze kufunguka katika kumtafuta muuaji halali wa Kanumba. Kuwa nae ndani haimaanishi ndo muuaji ila kwa kuwa alikuwa eneo la tukio lazima aisaidie polisi mpaka ukweli ujulikane.
Zitto na Halima wamefanya vizuri na nawaomba mama Bisimba na Usu malya nao wamsaidie huyu mtoto.
Anahitaji msaada wa kisaikolojia maana kampoteza mpenzi wake na hili tukioo ni kubwa sana kwa umri wake na mazingira yalivyotokea.

With a fair trial to Lulu, the truth will be revealed and it may surprise us all

A reputable police force can easily answer those questions.
 
daah.!
R I P brother.
kwa kila mtu mwenye akili nzuri huu msiba unamhusu kila mtanzania.
 
sababu siyo nauli! unadhani ingekuwa nauli shibuda angeshindwa kumpa? Ni kwamba anaumwa ndio maana ameshindwa kuhudhuria mazishi!
 
Wabongo iko waongo. Machoni iko kama watu. Moyoni iko jitu mubaya, ya pepo mchafu wa chuki, husda na wivu wa kutoa roho yako
 
Kama Madaktari wamesema hilo ndio tatizo then dogo anaweza kujinasua vizuri sana na asifanywe anything, wakisema wanataka kujua imekuwaje mpaka akaanguka, kwanza kabisa huyu dogo anaweza kudanganya chochote kile kwanza kabisa hakukuwa na shahidi huko chumbani.

Na huyu mdogo mtu alisikia wakigombana bali hakujua nini kimetokea hasa huko chumbani, so anaweza kusema aliteleza tu mwenyewe then akaangukia kichwani, I mean ni vitun vingi sana vya kujitetea hapa, maana huko chumba hawakuwa watatu bali walikuwa wawili tu so hapa sidhani kama hii kesi inaweza kuwa na uzito sana
 
Back
Top Bottom