Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Tatizo la kukariri biblia neno kwa neno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili halina ubishi kuwa Kanumba kawafunika wasanii, macelebrety na wanasiasa wetu wote (Except Nyerere) waliotangulia mbele ya haki kwa kuzikwa na watu wengi zaidi,hii inaonyesha alikuwa anakubalika sana katika fani yake ya uburudishaji katika sanaa ya filamu.Mwenye ugomvi nae amsamehe na mwenye madeni huu ndio wakati wa kulipwa ili mwenzetu akapumzike kwa amani(kama kweli kuna mapumziko). Kilichobaki sasa ni kumuomba Mwenyezi Mungu amrehemu..Ameen
Tumesema mengi juu ya Kanumba,kuna ambayo yatasaidia kutuelimisha.
Lakini sasa imebaki historia tuu.......Kanumba hayupo tena.
Mm nina yangu yamenigusa,kwanza natoa pole kwa wafiwa wote.
Baada ya pole sasa ngoja nifunguke.
Ktk ukiristo kuna kifungu kinasema"ulitoka kwa udongo utarudi kwa udongo"kwa uelewa wangu ni kwamba tuliumbwa kwa udongo na tutarudi udongoni.
Kwa kutumia kifungu hicho basi mwenyezi mungu atawahukumu wote waliomjengea kanumba "hekalu"la kumzikia badala ya kaburi.Sasa kwa mjengo huo yeye atarudi kwa udongo lini?Hamuoni kama atasubili miaka mingi sana kurudi udongoni?
Na huyo sijui padri hakuliona hili?au yeye kifungu hiki hakijui?
Nasisitiza kwamba hayati KANUMBA hakutendewa haki kabisaaaaa!
Naomba kuwakilisha.
RIP KANUMBA.
kufa kufaana si kufanana
Ha ha ha aaaaaaaaaaaa kweli jf never boring,mnatisha wakuuanataka aigize na vitoto vidogo vya kike ili vikianza kukua avifanyaje???
Hili halina ubishi kuwa Kanumba kawafunika wasanii, macelebrety na wanasiasa wetu wote (Except Nyerere) waliotangulia mbele ya haki kwa kuzikwa na watu wengi zaidi,hii inaonyesha alikuwa anakubalika sana katika fani yake ya uburudishaji katika sanaa ya filamu.Mwenye ugomvi nae amsamehe na mwenye madeni huu ndio wakati wa kulipwa ili mwenzetu akapumzike kwa amani(kama kweli kuna mapumziko). Kilichobaki sasa ni kumuomba Mwenyezi Mungu amrehemu..Ameen
mbona mtoa mada kasema EXCEPT NYERERE...hapo nani karopoka kati yako na mtoa mada.?Huwezi kulinganisha msiba wa kanumba na Nyerere. Wewe uliona watu waliovyojipanga kuanzia Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam hadi Msasani? Je, unakumbuka kuwa wakati wa msiba wa Mwalimu hata vibaka na majambazi waliweka chini zana zao za kazi? Pitia taarifa ya polisi inayohusu uhalifu uone maajabu!!! msiropoke kumhusisha Kanumba na Mwalimu ambaye alizikwahadi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marakani na marais wasio na idadi!