Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

R.I.P Kanumba.
Hivi marehemu alikuwa yupo sahihi kufanya mapenzi na mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 16 kwa mujibu wa mama yake mwezi wa 5 ndio anatimiza miaka 17...sheria za nchi zinasemaje?
 
Huyo Elizabeth Kaganda siyo wakili wa Lulu bali ni wakili wa Serikali ( Public Prosecutor) kwa maana Lulu anasomewa shtaka tu.Hata Preliminary Inquiry (PI) itakayopelekea "committal" ili kesi ianze, haijasomwa.
 
sasa hayo majeraha sehem za siri yamesababishwa na nini.? Ina maana kanumba amekomaa sana hadi kumsababishia majeraha binti.?
 
Na nyie wa taarifa za ndani na nje si mseme?Ama ndo nyie na majina bandia mnazuga humu?
Mara nje mara ndani, duh!
 
Yaani kwa mwendo huu TACAIDS wana kazi kweli!

Ninadhani huyu mheshimiwa ana "wapenzi wengine", na pia Kanumba alikuwa na "wapenzi wengine", na zaidi ni kwamba hao "wapenzi wengine" wana "wapenzi wengine" ambao wana "wapenzi wengine" ambao nao pia wana "wapenzi wengine" ambao wana....na hatimaye, huenda wewe pia ni mmoja wao wa hao "wapenzi wengine" na una "wapenzi wengine".
 
panga , nondo , kisu , mkuki hata filimbi ni vitu vya kawaida kukaa chumbani kwa mwanaume kwa ajili ya self defence

this is true...kabisaaaa mie sioni cha ajabu kukuta panga chumbani mwake
 
Taarifa za ndani zinaeleza mtu huyo ni Mheshimiwa Iddi Azzani.

Kuna tetesi nimezisikia kuwa huyo mtu maarufu ni Nape Nnauye,polisi walipojaribu kufuatilia hiyo namba ya simu kwenye mamlaka ya mawasiliano wakakuta imesajiliwa kwa jina la NAPE NNAUYE ambaye ni katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha magamba.
 
Mara Ray,mara Idd azani,mara kigogo wa ikulu,mara boflo bob junior,tushike lipi?
 
Yaani kwa mwendo huu TACAIDS wana kazi kweli!

Ninadhani huyu mheshimiwa ana "wapenzi wengine", na pia Kanumba alikuwa na "wapenzi wengine", na zaidi ni kwamba hao "wapenzi wengine" wana "wapenzi wengine" ambao wana "wapenzi wengine" ambao nao pia wana "wapenzi wengine" ambao wana....na hatimaye, huenda wewe pia ni mmoja wao wa hao "wapenzi wengine" na una "wapenzi wengine".
Hayo ni mambo ya "Chain reaction"
Issue hapa kuna mauwaji yametokea na kuna watu wanatakiwa kujulikana, kesi hii italeta mengi tusioyajuwa.
 
Kuna tetesi nimezisikia kuwa huyo mtu maarufu ni Nape Nnauye,polisi walipojaribu kufuatilia hiyo namba ya simu kwenye mamlaka ya mawasiliano wakakuta imesajiliwa kwa jina la NAPE NNAUYE ambaye ni katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha magamba.

King Kong III said:
Mara Ray,mara Idd azani,mara kigogo wa ikulu,mara boflo bob junior,tushike lipi?
Duh!Kaazi kweli kweli...
 
ukiambiwa na haya yatapita ziongelewe ishu nyingine unaweza usiamini.
RIP Kanumba pole kwako Lulu.
 
hata huyu binti ana gari? Dah lazima nipambane mwaka huu na mm nivute kasuzuki.....habari za kiitelijensia zinasema huyo mtu ni vicent kigosi.

hana gari huyo binti ila alikuwa anatumia gari aliyohongwa na kigogo mmoja wa Chama Cha Matusi ambaye ni mbunge toka mkoa wa jimbo mojawapo mkoani Tanga.
 
Sheria inasemaje kufanya mapenzi na mtoto wa miaka 16?

Toka lini Tanzania kukawa na sheria kihalisia? Tumeona watoto wa wakubwa wakiua acha hiyo ya kunyegeshana na hawakufikishwa mahakamani, Kina Ditopile walitoka nje na kwenda jifia kule Moro kama hawakuwa na kesi ya mauaji vile.
 
inawezekana lulu alikataa kumpa unyumba maana marehemu Kanumba naye mmh
Ina maana alimvuwa nguo kwa nguvu?

Hii kesi nahisi itakuwa na vuta nikuvute ya ajabu, inawezekana ikawa "case of a century" kwa wabongo baada ya ile a kina Simba Ulanga, i mean maelezo hayaunganiki, na hilo litapelekea hamu ya wafuatiliaji wengi kutaka kujuwa ukweli.
 
Kufanya ngono na under 18 ni kosa la jinai kufuatana na SOSPA 1998 now under Penal Code Cap 16 as ammended in 2002.
Marehemu hawezi kuhukumiwa akiwa keshakufa kwenye kesi za jinai. Kesi ya jinai hufa na mtu pale anapoaga dunia.

Tatizo sio kuukumiwa marehemu tumesikia ripoti ya madaktari marehemu hakupigwa ingiwa bado wanafanya uchunguzi zaidi kama kalishwa sumu..

Kuna ushahidi gani ambao unaonyesha huyo mtoto alisababisha mauji ya Kanumba? Na sheria zetu zinasemaje kuhusu makosa yanayofanywa na mtoto wa miaka 16 au kwenye kesi ya mauwaji sheria hazitenganishi umri na hukumu?

Wanasheria tufafanulieni zaidi.
 
Back
Top Bottom