King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Au alikua anamlenga ray?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado haijaniingia akilini iwaje Jeshi la Polisi lifanye hadaa kwa tukio la kupelekwa mahakamani msaani Lulu?
Waandishi wengi wa habari mpaka sasa hawajui mantiki ya Jeshi la Polisi kufanya usiri huo. Kwanza waliambiwa mahakama ingekuwa Kinondoni na wengine walitangulia huko, kisha habari zikaja kuwa mahakama ni Kisutu!!!
Alipofika hakukaa mahabusu kama ilivyo ada bali alipanda moja kwa moja kizimbani na kusomewa shitaka lake la mauaji.
Baada ya kusomewa na kutakiwa kutojibu lolote aliondoshwa kwa usiri mkubwa sana na gari lililo full tinted!!!!!
Nataumaini mahabusu gereza Segerea hakutakuwa na kama haya ya polisi.
Maswali ya msingi ya kujiuliza,
1.0 Nani yupo nyuma ya Lulu katika yote hayo niyoyaeleza hapo juu?
2.0 Ni ustaa tu?
3.0 Ni kwa usalama wake tu yamepelekea yote hayo?
4.0 Au ni kunuonea huruma kutokana na mkasa uliompata? Na ikiwa hivyo serikali imepata wapi huruma hiyo?
Nawakilisha
Preta siamini, kumbe wewe ndio................ooooh sorry kumbe name calling hairuhusiwi JFmimi alinishangaza hapa.......
TULIOSAPOTI MPAKA KITUO HIKI KUFIKIA HAPA KILIPO SOMA MAJINA HAPO JUU JINA LANGU LIPO HAPO,
![]()
Hapa JF tunatofautiana sana uelewa na inabidi tu tuwe tunsaidiana kwa baadhi ya mambo
1.Lulu ni under 18 hivyo hawezi kupelekwa Kinondoni wakati Juvenile Court iko Kisutu hiyo ni mantiki ya kawaida tu ya kwanza
2. Kwanini polisi walificha taarifa za kupelekwa kwake mahakamani ni mantiki ndoto tu ya pili kuwa kama siku ile ya mazishi watu walifurika kupita kiasi baadhi ya shughuli zikakwama na bado wanahasira ya kushindwa kuaga mwili, katika akili zao wameshamhukumu Lulu, wanaweza hata kuhamishia hasira zao mahakamani kwa mtuhumiwa kwa kiwango ambacho polisi hawakujiandaa. Ili kuepusha shari ni dhahiri inabidi kupunguza publicity lakini bila kuingilia mwenendo wa shauri lenyewe jambo ambalo wamefanya
3. Kwa tunaoyajua mambo hata huko Segera wala hakupelekwa na usishangae watu kufurika huko wakijifanya ndugu kupeleka msaada ili tu waweze kupata habari zake BUT I assure you mtapata wakati mgumu tu.
4. Subira yavuta heri, kesho tu litatokea jingine tutasahau hili lakini tusikimbilie kusema kuna mtu kigogo wala nani hata kama alipiga simu kwani ni dhambi kuongea na mtu, hata kama aliamrisha amuue kanumba katika jinai ya hivyo tunaangalia nani alicomit murder hatimaye. so tutangulize logic za kawaida kabla ya kupost mambo ya kuhisi
Hapana c Idd Azzan ni wanatajwa wawili mmoja ni Mbunge ingawaje si Azzan na mwingine ni mtu anayehusika na mambo ya Benki.Taarifa za ndani zinaeleza mtu huyo ni Mheshimiwa Iddi Azzani.
Zis iz e bigi jok, yaani kumbe huko kwene dini zenu mnaruhusiwa kuharibu ili mradi tu utubu kabla hujafa halafu unaenda ze so kold peponi.?!
Nakubli kwa yote unayoeleza, lakini pia watoto wetu siku hizi hawana uoga kabisa hasa suala la ngono wamekuwa vipofu sana. Ukifuatilia maisha ya Lulu huwezi amini kama anamiaka 17. Inaonyesha hakuwa na mmoja kama nakumbuka aliwahi kuhojiwa na kipindi cha mikasi mpaka mmoja wa wahusika wa kipindi walimwambia acha kuigiza wewe! Hivyo na watoto wetu wanapenda sana starehe na uwezo hawana! Kusoma hawapendi na wanapenda njia za ujanja kupata maisha bora ni kitu kibaya na hakuna aliyefurahia maisha kwa njia za ujanja.Tar 10 may mwaka jana gazeti moja liliandika wasanii wa filamu watauana
kwa kutafunana wenyewe.habari hizi zilipelekea baadhi ya wasaanii kuingia
kwenye tv na kukanusha habari hizi pamoja na marehemu wetu steven
pengine ni wachache waliokuwa wakijua steve anatembea na lulu
katika moja ya mikanda ya kanumba ,steve alia act kama baba wa lulu jana nilikuwa naangalia
nakutoa machozi sio sababu ya kifo bali ni kwa kilichokuwa kikimtokea lulu pasipo
watanzania kujua nini kilichopo nyuma ya pazia
tar 4january walihojiwa lulu kwenye tv moja ,akaulizwa ukaribu wake na kanumba ama steave aka
the great akakana kabisa kabisa,,baada ya muda walimuhoji steve kanumba akakana kabisa kabisa
na kusema yeye kama mzazi lengo lake ni kunyanyua vipaji vya watoto kama wakina lulul na si kuwaharibu natumaini star tv bado wanayo habari hii
leo hii sikushangaa sana kwa yaliotokea kwa mwanawetu lulu kukutwa akitembea na steve kkanumba
ni mengi yatakaliwa kimya lakini ukweli unabaki wazazi mnaowatoa watoot wenu kwenye hii fani muwe makini sana sana watu hawa ama wasanii wafilamu wajiitavyo wako radhi kukutunzia mtoto mpaka anakua akishakua kinachofanyika ni mpitiano mmoja baada ya mwingine
nasema hivi kwa machozi yakiniktoka kanumba amekuwa akitembea na lulu si kwamba akujua ametembea na wasanii kadhaa ambao bila aibu na hata kumwogopa mungu walikuwa mstari wa mbele na makoti yao meusi kubeba jeneza la kanumba..sipendi kusema mengi ila wapo watakaojua rey na kanumba waligombana kipindi fulani src ni nini??si huyo tu nasema hivi kuwaasa wazazi narudia tena tena na tena na ndio maana sikuwa sana na simanzi mpaka nilipowaona wale watoto watatu wadogo walivaa magauni meupe yana picha ya kanumba na kumuuliza mungu hivi lulu nikumbukavyo alikuwa mdogo sana sana kipindi anaanza kuigiza na kanumba alikuwa mfadhili wake sikatai alikuwa msaada nikajiuliza
hawa watoto wadogo ambao wanalia kanumba katutoka je angekuwa mzima wangekuwa umri wa lulul ni nini kingetokea???ni huzuni kubwa kubwa kwa shida za familia ya lulul kuonekana kama src ya wasanii kumpitia mmoja baada ya mwingine
ni dhahiri na si kuficha naomba tuwe wazi wasaanii wa filamu wamekuwa wakitemebeleana wenyewe kwa wenyewe na hii ni hatari kwa kuwa iwapo mmoja taondoka hata kwa bahati mbaya na ngoma ni wazi tutaanza kununua kipande pale kinondoni maalum kwa ajili ya wasanii kuwahifadhi.....
Naomba niweke wazi kuna wengi watauliza iweje leo hii lulu aseme ana miaka 17 wakati alifanya sherehe kubwa akitangaza amefikisha miaka 18 na kanumba akifadhili almost nusu ya garama kama sio nzima..tusipige kelele cheti kimepelekwa na kiko mahakamani wachen sheria iseme ..mkijiuliza sana jiulizeni iweje kanumba alitudanganya waatanzania kama si pamoja na wapenzi wake wa nje ya nchi mbele ya tv kwamba hana uhusiano zaidi ya kumsaidia lulu mdogo wetu leo .....hii lulu ameapa kusema wazi na ukweli na ndio maana serikali wanaona aibu kumficha wakijua watasaidia lakini ukweli utajulikana tu ........
Nafikiri niwa wakati muafaka kumpa nafasi na kuwaapa sapoti waheshimiwa eater bulaya na halima mdee ili wawe wanatupa ukweli nini kinaendelea kinachoeenakana kuna kificho kinataka kufanyika lakini nawapongeza kwa kuingilia kati na kusema ni lazima wafwatilie na kumsaidia huyu mtoto
ila nasikitika sana wapo wengi waliokuwa wakimnanga msibani kanumba kwa k usema afadhali ametuachia zigo letu na mmoja wao ni mmoja wa wasanii na lishiriki kubeba jeneza la kanumba hii ni taarifa tu ....wakati tukitoa sifa basi tuweke na ukweli ili wasanii wengine wajue kumbe kwenye filamu nini kinaendelea
binafsi sina tatizo kutembea na msanii mwenzako ,ntakuwa mtovu wa nidhamu kuuliza kwa nini Kanumba alitembea na WEMA,hao ni wakubwa na wala atuitaji kujua zaidi...tatizo ni iweje mnawakuza watoto na kwakati mwingine mnawagarimia mkijua miaka yao midogo na kuanza kutembea nao ..swala je llulu atusaidie kwa hili
Ndugu zangu kimeniuma sana sana sana katika moja ya statement za Steve kanumba kwamba amefanya mambo mengi amewanyanyua watu kadhaa katika majina 4 aliotaja ikiwamo lulu na wema wote walikuwa mabibi zake na wote aliwaingiza wakiwa chini ya miaka 18..tusifikirie tu kumfunga lulu tujiulize je Kanumba angekuwa hai leo lulu amepeleka cheti ana miaka 17..kanumba angekuwa wapi..aibu hii angeipeleka wapi???
raha ya milele umpe ee bwana ana mwanga wa milele umwangazie uncle steve apumzike kwa amani
ameni
Exactly!
sina uhakika ndugu ila kama binadamu ni vema tukafanya utafiti wa maisha yetu na mambo yanayotukia hapa duniani na kukataa kuwa wananchi wa kawaida kawaida.......Nimesikia habari za huyu bwana samweli na kuna siku nilikuta kipndi kinaishia. gazeti la Rai kama kumbukumbu zangu ziko sawa enzi za uhai wake wa nguvu ya hoja liliwahi pia kuchapisha habari ndefu kuhusu free mason na usisahau Sheick yahya pia aliwahi kuelezea sana alama zao zikiwemo mbwa, macho ya kwenye majengo kama yakiwekwa katika mfumo wa taa, mnara n.k. Kwamba huyu kijana alikuwa mwanachama kuna uwezekano mkubwa na hata mauti yake inaweza kuwa imetokana na kushindwa kuenenda sawa na mahitaji ya chama hilo.
Naskiaskia nying,any way wacha ziendelee.
Mwanzo wa ngoma lele
haikuingii akilini?! Itaingia tu 1day!
Yote ulotoa ni Majibu.
Wacha wakomeshwe,mapaparaz wamezid,watu wanauchu sana na Lulu,.me nataman aachiwe muongee ad ndimi ziwachomoke kwa kuishiwa mate! Ata ungekuwa wew ungekubali kuwa umeua(though i biliv,hakuua hata kwa makusud)hvyo n haki yake kujitetea.na Polis walifanya vema kumficha,wapambe wengi walitaka kuuza gazet! Na kesi ijayo,mtadanganywa kisutu,af atapelekwa mahakama ya roryaaa Musoma,mumfuate ungo!...heheh