Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kweli naamini kufa kufaana, naona wajanja wachache washatoa kitabu cha KANUMBA tayari! sijajua kama familia itanufaika vipi na hiki kitabu? hati miliki yake sijui pia imekaaje
 

Attachments

  • kanumba book2.jpg
    kanumba book2.jpg
    17 KB · Views: 192
Huyu mzee ni wa kumkata makofi. Yaani unamwacha mwanao anaishi maisha kama hana wazazi hadi watu wa mitaani wanadhani alijizaa halafu leo hii unajitokeza na upuuzi wako.

Hivi haka katoto kakiwa na miaka 14 kalivyokua kanaenda shoo za machozi huyu mzee alikua wapi? Mbona hakumkosoa alipojitangaza kwamba ana miaka 18?

Sipendi unafiki..
 
Najua hii topic itazua maswali mengi ila ni vyema kwa wanaofahamu zaidi juu ya hili kutuweka wazi maana
Kutokana na filamu ya The Devil Kingdom inasemekana ndio ulikuwa utambulisho rasmi. Katika mkao wa freemason huwa kuna watu watatu yaani Oris, Hosis na Iris. Hosis ndio kiongozi na huwa na degree ||| na kuendelea mfano wa watu wa ngazi hii ni JAY Z. Oris na Iris huwa ni wasaidizi wake. Hivyo katika ile move hakuwepo Horis ndio maana kile kiti hakikukaliwa na mtu yoyote, inasemekana Ramsey ni freemason na alikuwa pale si kwa lengo tu la kuigiza bali ni kumtambulisha rasmi Kanumba na aliwakilisha cheo cha Oris hali yakuwa SK alikuwa nafasi ya Iris. Pia katika ile move inasemekana Sk alikabidhiwa kitabu cha kishetani.
 
"Baba mkanye mwanao"
Mzee aache uzushi wake,he deserves castration awe maksai huyo.
 
Hawakumpeleka mbali, amepumzika pale kinondoni, kama vipi kamuulize, kuliko kusubiri waje wakudanganye bure!!!!!
 
Kiukweli hata mimi nawafikiria sana wazazi wa Lulu kuwa wanapaswa kulaumiwa kwa hili
 
NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK.......... Naona watu mnamhukumu, mnaropoka tu mambo ambayo wala hamyajui au hamna uhakika nayo.... mlikuwa wapi kumsema siku zote akiwa hai mnajitia kumsema now baada ya kufariki kama si unafiki??? Acheni hizo, mwenye right ya kuhukumu ni Mungu pekeake na si binadamu....... nyie mnaomhukumu na kumtolea marehemu maneno makali na mabaya je ni wasafi?? No one is perfect except God, as far as u r a human being utakuwa na mapungufu tu. Asingekuwa na mazuri anayotambulika nayo sidhani kama watu wengi namna hiyo wangemlilia, nadhani mliona umati wa watu Leaders etc.......... halafu msimzeeshe, kwa umri wake Kanumba hawezi kumzaa Lulu, unless mnambie kuna mvulana mwenye miaka 10 au 11 anaeweza kuzalisha mtoto, semeni mdogo wake sio mtoto wake. Huu ni ujumbe kwa Kibagata, Kiduku, greenstar, SR Senior..... na waropokaji wengine mnaoongea mambo bila kufikiri wala kuwa na uhakika nayo, au mmekunywa maji na kopo la chooni nini? teh teh teh
 
Hapo ndiyo mambo ya kiherehere yanapokuja.
Kisheria, ukiwa na miaka 17 unajibu makosa ya jinai kama mtu mzima.
Kuhusu yeye kukanyagwa, hilo siyo kosa la upande wa mashtaka.Aonyeshe tu kuwa alibakwa au alitaka kubakwa.
Nadhani wameshaangalia signs of struggle na vitu vingine. Ila atendewe haki.
 
Labda wamemsemea, nasubiri uthibitisho kutoka kwa jk. si alikwenda msibani? yeye, mwema, yule mzee wa zenji wa mambo ya kunyumbi, rizimoko, sina uhakika na mwanaasha.
 
Kama haki itaelekeza mwanae anastahili ile kitu ya sadamu husein, huyu mzee ata ata ata atatuambia ndio haki aliyokuwa akiisisitiza itendwe. Akome kuingilia uhuru wa mahakama. Aache mwanae afunzwe na dunia, yeye, mkewe walishashindwa.
 
Kuna picha Lulu kapiga na Ramsey (actor wa kiNigeria) akajisifia magazetini kwa nini Baba asishtuke?
Kweli anastahili kwenda Segerea badala ya mwanae kutotimiza 18 na kumlea vibaya
 
Back
Top Bottom