Nimesoma mengi kuhusu huyo binti mwigizaji Elizabeth Lulu Michael Kimemeta, ambaye anashikiliwa na polisi kuhusiana na kifo cha Steven Kanumba. Kwa kweli huyo binti ni mbegu mbaya au ana shetani ndani yake. Tangu umri mdogo ametaka kuwa mkubwa. Kama ni kweli ana miaka 17 tu, kwa nini alifanyiwa birthday party kubwa tu ya kushrekea yeye kuwa na miaka 18?
Pia hao wanaume ambao anadaiwa kutembea nao ni wengi mno kwa binti mdogo hivyo, kafikia status ya umalaya. Kwa nini hakuwa shule kama wasichana wengi wa umri wake? Kwa nini kila saa alitaka kutembea karibu uchi. Picha zake nyingi yuko zaidi ya nusu uchi.
Kuhusu ukubwa ameyapata sasa hiyi kesi ya mauji ni ya kikubwa. Ndo alikuwa anakimbilia ukubwa ili amtoe roho mtu? Alitakiwa kuombewa ili mashetani yamtoke. Kuna shetani wa kutotosheka ngono ndani yake pia.
Kwa kweli kama ndugu yangu angemleta nyumbani aseme kuwa anataka kumwoa, ingebidi nimkalishe kitako na kumwonya kuwa huyo binti ni mbegu mbaya. Kuna hatari watoto aatakao zaa watakuwa wabaya zaidi yake.
Natoa pole kwa wazazi wake maana nina amini kuwa walijitahidi kumlea vizuri lakini ndo hivyo tena. Wazungu wanamwita Black Sheep.
Nachukua nafasi hii kutoa pole kwa familia ya marehemu Steven Kanumba. Pia nina toa pole kwa wazazi wa Lulu maana nao wamempoteza mwanao.