Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ana wakati mgumu sana huyu mtoto, naamini hakumwuua kanumba na hata kama alikufa kwa ajili yake lulu hakukusudia.
Mungu ana sababu ya kila kinachotokea kwenye maisha yetu naamini na hili la lulu alilijua.......na atakua mtetezi wake
Alipitiwa na ule usemi usemao "nyani haoni kundule"hayo maneno yanamuumbua mwenyewe
Reast In Peace Mbakaji

Munguana akili sana kutuumba kwa mwili huu wa nyama laiti kama angetuumba kwa vioo au sightmirror ili uweze kuona mwenzako anakuwazia nini?anakufanyia nini?anapanga nini juu yako ungekuta ni heri ukaishi msituni na wanyama wakari kuliko kukaa na binadamu
Hivi kabinti kadogo ka miaka 17 kanaweza kumuua mwanaume njemba/baunsa wa miaka 28?!
Ha ha ha kaonesha uhodari wa juu.....inabid tumpe jina la the great tena senior.
kivipi?