Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Sasa hivi naona watu hawana kazi za kufanya,hivyo wameamua kujikita kwenye ushindanishi
hivi hawawezi kufanya mijadara yao bila kumuingiza Nyerere (R.I.P) ?nakereka sana na huu upuuzi.
 
Sorry, but as you can notice some people append the title "The Great" to the late Kanumba's name when addressing him. I realize it stems from the influence of his blog where he called himself thus for his commercial maneuver. (Kanumba The Great)

Indeed his social fame cannot be undermined and his contribution to different fields of his interest is indisputable but as far as I am concerned it is very unfortunate that his life style and the affairs surrounding his death impart a significant blind spot to his profile.
  1. How does somebody who kills himself while fighting for a mere harlot merit being called "The Great" soon after his death?
  2. Was Lulu REALLY worth fighting for?
  3. Does his sexual morality add anything to his greatness?
  4. Should the youth tomorrow copy his life style to become "great" too?

Otherwise how does one merit this title "the Great"?

First off, mie si fan wa Kanumba, sijaona filamu yake hata moja na kuna mengi tu ambayo sikupenda katika maisha yake.

Lakini.

Kwanza jaribu kutafuta jibu la "The Great" to who? Society is not monolithic. Kwa vijana wa Tanzania walio na aspirations za kuitoa kwenye movie "industry" ya bongo Kanumba anaweza kuwa "The Great".

Wakati kuna watu wanaweza kukubishia hata leo, hata baada ya kuchukua karibu ulimwengu mzima uliojulikana siku zake, watakwambia hata Iskander mwenyewe hakuwa "The Great".

Kwa hiyo kama huna SI Unit ya kupimia greatness, yeyote anaweza kuwa "The Great" kwa definition fulani.

Jimi Hendrix alikuwa anahojiwa na mtangazaji wa TV Uingereza, akaulizwa wewe ni mmoja kati ya wapiga gita mahiri kabisa duniani, akajishusha na kusema "certainly in this room", akajishusha zaidi "definitely on this chair" (alikuwa amekaa mwenyewe kitini. Kwa hiyo ukisema "The Great" tu bila kufafanua unaongelea kitu gani na unatumia criteria gani na margin of error yako ni ipi unakuwa unatwanga maji kwenye kinu.

Maswali yako.

1. Una hakika kajiua? Una hakika alikuwa anamgombea mwanamke? Una hakika huyo mwanamke ni "harlot"?
2.Kabla hujajibu 1, huwezi kuuliza 2. Worth fighting for katika context gani? Kuna wengine wanaamini yoyote uliye naye is worth fighting for, na kama wewe huwezi kumpigania uliye naye, humthamini. Na kama humthamini uliyenaye, hujithamini mwenyewe.
3. What is sexual morality? What is morality? What yardstick are you using to judge him? Did the two of you agree on this yardstick?
4. Did he ask to be a role model? Why should the youth want to copy him of all people?

Nini kinakupa authority ya kum judge mtu mwingine?
 
.....is not a game kwa kweli.....ndo tumefikia huko?!!:boom:

tumefika kweli huko...hata tafiti za hivi karibuni( earth insitute of columbia university) zinaonyesha kuwa we are in the top ten of the most unhappy countries....taifa lenye watu wenye hunzuni zaidi duniani ....hivyo tunapenda kutafuta furaha kwa nguvu zote hata kama kujifurahisha kwa mizaha ndani ya kigoda cha mwalimu...

labda aliyeleta jambo hili atupe habari ya ratiba ya mkapa kesho kigodani...anaingia saa ngapi? mchana au asubuhi?
 
Mwaonaje,kutokana na saga hili la juzi..

Hapa tuchangie huku tukilenga vijana wetu,na wasanii wachanga kiujumla..

Yote kwa faida ya vijana wenyewe na jamii kwa ujumla..
 
naskia Uwoya ndio alishinda,alizimia mara sita..yani alizimia akazinduka akazimia tena akazinduka,akazimia tena akazinduka akazimia tena akazinduka,waliokuwa wanampepea wakachoka nae akapumzika kidogo... baada ya kuona Wema anamkalibia kumfunika akaendelea kuzimia mfululizo..
 
Ha ha ha ha, umepinda.

Nimecheka kama kwaya masta!

naskia Uwoya ndio alishinda,alizimia mara sita..yani alizimia akazinduka akazimia tena akazinduka,akazimia tena akazinduka akazimia tena akazinduka,waliokuwa wanampepea wakachoka nae akapumzika kidogo... baada ya kuona Wema anamkalibia kumfunika akaendelea kuzimia mfululizo..
 
Mbona tunaishi kwa HOFU!? Freemason..freemason! Habari zao ziko wazi sana, hata hapa jf kuna taarifa zao kwa undani sana, hiyo ni imani kama imani nyingine, iwe ya kishetani au ya kimungu yote yanategemea muumini aliyeamua kuifuata. Hatuna uhakika hata hizi dini tunazoziona za ki-Mungu kama ni salama kihivyo. Endapo SK alikuwa muumini au hakuwa sisi wengine inatuhusu vipi? Kama mtu unataka kufuata/kutofuata imani fulani hafanyi hivyo kwa kuangalia watu walioko bali mafundisho yake bana. RIP Kanumba.
Nikwel kabisa ndugu yangu kwani huyo asiekua freemaso ni msafi kiasi gan? Sion kama kuna haja ya kuzungmzia hili niiman kama iman tu. Tofauti nikwamba unamwabudu nani basi.
 
naskia Uwoya ndio alishinda,alizimia mara sita..yani alizimia akazinduka akazimia tena akazinduka,akazimia tena akazinduka akazimia tena akazinduka,waliokuwa wanampepea wakachoka nae akapumzika kidogo... baada ya kuona Wema anamkalibia kumfunika akaendelea kuzimia mfululizo..

Hii kiboko!
Cha ajabu, karibu wote walikuwa wamevaa sikini taiti!
Kama walijipanga kuzimia!
 
Kweli tuwe fair...@ Mpigakelele

Nami nina imani kubwa na vyombo vyetu vya dola na usalama kwenye suala hili..
 
mimi sio professor na wala sijafika huko,nina ka bachelor kadogo tu kutoka pale mlimani.ila nahisi kuchefuka na hii habari, yaani kama shivji amefika hapo,nawakumbuka Chachage S.Chachge na Haroub Othman
 
Kulingana na mada,muhadhara unahusu mchango wa SANAA,. Mimi sifahamu sanaa inayomuhusu Mwl. Kwa upande mwngne sote tunafahamu Sanaa alofanya Kanumba ilisaidia kuitangaza Nchi kimataifa hata kama si kwa kiwango kikubwa sana. Nisiloelewa hapa,ni kwa vipi wamfananishe Mwl na Kanumba? Tena kisanaa?!
 
ndugu yangu kwenye self defense hata ukiua is ok. tena kwa lulu msichana mdogo mwenye umbo dogo pengine nusu ya Kanumba(mwanaume) ndio usiseme kabisa na kitendo cha yeye kuvutwa kinguvu na kufungiwa chumbani ndio kabisaaa. watu watashangaa majaji watakavyoamua hii kesi maana waTz wengi ni washabiki tu. sidhani hata kama wanazifahamu hizo sheria. wanaangalia nini roho inapenda basi wanatetea tu.
Cha muhimu hapa ni kumuombea SK apumzike kwa amani.

Sio swala la ushabiki hapa ila hadi sasa tunachofahamu ni kwamba wote wawili walikuwa ndani yaani chumbani kwa kanumba,then lulu alitoka nje sio kukimbia kubakwa bali ili akapokee simu toka kwa mwanaume mwingine according to maelezo yake,ndio kanumba akamfuata na kumrudisha chumbani huku akitaka afahamishwe alikuwa anaongea na nani,hisia zake zikiwa alikuwa anaongea na mwanaume mwingine, apart from them no one else was there, so tuwaachie wahusika kwa uchunguzi ili ukweli ujitenge.

Tunamuonea huruma huyu binti kwa wakati mgumu alio nao,kwani hata akiwa free bado jamii anamuangalia kwa jicho jingine kitu ambacho kisaikolojia sio kizuri kwake,

pia tunamuombea SK apumzike kwa amani.
 
naskia Uwoya ndio alishinda,alizimia mara sita..yani alizimia akazinduka akazimia tena akazinduka,akazimia tena akazinduka akazimia tena akazinduka,waliokuwa wanampepea wakachoka nae akapumzika kidogo... baada ya kuona Wema anamkalibia kumfunika akaendelea kuzimia mfululizo..

hii kali,kwa umbea huu,natamani kuwa celebrity ili nione watakavyo nidiscus
 
tarehe 23 naona mbali sn,ila itafika na cjui atapelekwaje huko mahakamani huenda wakabadilisha style wakatoka na nyingine watu wataambiwa tu kesi imeckilizwa karudishwa segedansi! mbona lulu kawapa watu la kuongea town! yangu macho na mackio.
 
labda watafanya kolabo na Kajala kutoa kitu cha "Prison Break: Segerea "

hahahahahaaaahaaaaaaaa! we kiboko umenichekesha. but mtoto akililia wembe c unampa?ukimkata ndio atajua uchungu wake,hata km hakuchangia kifo cha SCK kwa mambo yake ya ufilauni acheni afundishwe,akitoka huko amenyooka km kweli yuko huku Segerea
 
Hizo hela ambazo zingetumika kuwaelimisha hao wasanii uchwara ni bora tukanunulie vifaa kwaajili ya watu wasioona na wenye mahitaji maalumu,hao wasanii wanapenda maisha ya juu km kina beyonce wakati hata hela ya kula mchana hana,kazi kubadilishana wanaume km nguo leo yuko kwa huyu kesho kwa yule hawana maana kabisa,kuvaa nusu uchi ndio wanaona fashion na mikorogo yao,wengi hawataki kusoma,wengi wameingia huko kwaajili ya kuwinda wanaume,wanakesha km mabundi.kazi kupeleka skendo chafu kwn magazeti
 
Back
Top Bottom