Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sorry, but as you can notice some people append the title "The Great" to the late Kanumba's name when addressing him. I realize it stems from the influence of his blog where he called himself thus for his commercial maneuver. (Kanumba The Great)
Indeed his social fame cannot be undermined and his contribution to different fields of his interest is indisputable but as far as I am concerned it is very unfortunate that his life style and the affairs surrounding his death impart a significant blind spot to his profile.
- How does somebody who kills himself while fighting for a mere harlot merit being called "The Great" soon after his death?
- Was Lulu REALLY worth fighting for?
- Does his sexual morality add anything to his greatness?
- Should the youth tomorrow copy his life style to become "great" too?
Otherwise how does one merit this title "the Great"?
.....is not a game kwa kweli.....ndo tumefikia huko?!!:boom:
naskia Uwoya ndio alishinda,alizimia mara sita..yani alizimia akazinduka akazimia tena akazinduka,akazimia tena akazinduka akazimia tena akazinduka,waliokuwa wanampepea wakachoka nae akapumzika kidogo... baada ya kuona Wema anamkalibia kumfunika akaendelea kuzimia mfululizo..
Nikwel kabisa ndugu yangu kwani huyo asiekua freemaso ni msafi kiasi gan? Sion kama kuna haja ya kuzungmzia hili niiman kama iman tu. Tofauti nikwamba unamwabudu nani basi.Mbona tunaishi kwa HOFU!? Freemason..freemason! Habari zao ziko wazi sana, hata hapa jf kuna taarifa zao kwa undani sana, hiyo ni imani kama imani nyingine, iwe ya kishetani au ya kimungu yote yanategemea muumini aliyeamua kuifuata. Hatuna uhakika hata hizi dini tunazoziona za ki-Mungu kama ni salama kihivyo. Endapo SK alikuwa muumini au hakuwa sisi wengine inatuhusu vipi? Kama mtu unataka kufuata/kutofuata imani fulani hafanyi hivyo kwa kuangalia watu walioko bali mafundisho yake bana. RIP Kanumba.
naskia Uwoya ndio alishinda,alizimia mara sita..yani alizimia akazinduka akazimia tena akazinduka,akazimia tena akazinduka akazimia tena akazinduka,waliokuwa wanampepea wakachoka nae akapumzika kidogo... baada ya kuona Wema anamkalibia kumfunika akaendelea kuzimia mfululizo..
ndugu yangu kwenye self defense hata ukiua is ok. tena kwa lulu msichana mdogo mwenye umbo dogo pengine nusu ya Kanumba(mwanaume) ndio usiseme kabisa na kitendo cha yeye kuvutwa kinguvu na kufungiwa chumbani ndio kabisaaa. watu watashangaa majaji watakavyoamua hii kesi maana waTz wengi ni washabiki tu. sidhani hata kama wanazifahamu hizo sheria. wanaangalia nini roho inapenda basi wanatetea tu.
Cha muhimu hapa ni kumuombea SK apumzike kwa amani.
naskia Uwoya ndio alishinda,alizimia mara sita..yani alizimia akazinduka akazimia tena akazinduka,akazimia tena akazinduka akazimia tena akazinduka,waliokuwa wanampepea wakachoka nae akapumzika kidogo... baada ya kuona Wema anamkalibia kumfunika akaendelea kuzimia mfululizo..
labda watafanya kolabo na Kajala kutoa kitu cha "Prison Break: Segerea "