Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Ha ha ha kaonesha uhodari wa juu.....inabid tumpe jina la the great tena senior.
 
ana wakati mgumu sana huyu mtoto, naamini hakumwuua kanumba na hata kama alikufa kwa ajili yake lulu hakukusudia.
Mungu ana sababu ya kila kinachotokea kwenye maisha yetu naamini na hili la lulu alilijua.......na atakua mtetezi wake

Pia tujifunze kupitia yeye sisi kama vijana na pia tumwombee ili akabiliane vyema na kuyashinda maswaibu haya yaliyomkumba
 
hivi ile filamu ya 'the lost twins' aliyocheza na msichana Lucky Peter (ambaye character wake alipokuwa mdogo alichezwa na LULU) pia ilikuwa ya SK au alishirikishwa tu?
 
Hivi kabinti kadogo ka miaka 17 kanaweza kumuua mwanaume njemba/baunsa wa miaka 28?!
 
mtu kazimia sinza ,akazimia tena leaders club, bado hajajijua kuwa ni mbovu ana taka afike makaburini naamini kweli hawa washamba walikuwa wanauza sura tu
 
Ingawa nilikuwa simfagilii huyu jamaa, lakini nilihuzunishwa na kifo chake. Sasa hata siku tatu hazijaisha nasikia kitabu kuhusu maisha yake kimeshatolewa!!! Kama ni kweli basi huu ulafi hauna utu. Sijui kimeandikwa lini, nani kaandika, na nani atakusanya pesa itokanayo na mauzo. Kufa kufaana kwa kweli.
kanumba.jpg
Source: That's It: SHIRIKISHO LA SANAA MMEONA HII HATA SIKU 3 BAADA YA KANUMBA KUZIKWA HAZIJAFIKA KITABU KIMETOKA MNAISAIDIAJE FAMILIA YA MAREHEMU KANUMBA KITABU NDO KINAUZWA HIVYO JE FAMILIA INAFAIDIKA VIPI???
 

Attachments

  • Kanumba.jpg
    Kanumba.jpg
    20.6 KB · Views: 45
Munguana akili sana kutuumba kwa mwili huu wa nyama laiti kama angetuumba kwa vioo au sightmirror ili uweze kuona mwenzako anakuwazia nini?anakufanyia nini?anapanga nini juu yako ungekuta ni heri ukaishi msituni na wanyama wakari kuliko kukaa na binadamu

looks like something was wrong within his inner cicle of friends na probably alishaanza kuwa na wigo wa maadui
 
ndiyo ujasiliamali huo... take maximum advantage of any arising opportunity to make a buck or two..
 
Hivi kabinti kadogo ka miaka 17 kanaweza kumuua mwanaume njemba/baunsa wa miaka 28?!

kwa nini asiweze?
Haya fanya hivi kama huamini,
chukua hata kipande kizito cha ubao halaf ukape kabinti ka miaka 8,utulie kagugonge kichwani,
kwa uchache tu.....
 

Hakuwa mkweli mdomoni, na alificha kilicho moyoni juu ya mahusiano ya kimapenzi na Lulu, kwa aliulizwa juu ya uhusiano wa kimapenzi akakanusha kwa maneno yake huku akijua anachokisema sio sahihi,

Pili anasema tufanye mema ili watoto wetu waje kurithi, huku yeye hakuwa mfuasi wa alichokuwa akikisema. Anataka watoto wetu warithi kuharibu vvitoto vidogo? Under 18? Ameumbuka!
 
Ulitaka waandike vipi? Afikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumuua kanumba? Usidanganyike na rangi utamu wa chai sukari wewe.
 
Back
Top Bottom