Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Wivu,chuk,umaskin na uchaw ndo sifa zako huna lolote.unahs unavyobaka housegirl wenu ndo kla m2 afanya hvyo?
 
Huyu baba naye mhhhh,

Yaani anaweza kutoka kwenye public na kuongea lolote kuhusu huyo binti?

Ningekuwa mie ningechukua sabbatical leave ya miaka kama 2 hivi!!

Babu DC!!
 
kumbe baba yake yupo hai hiyo ruhusa ya kuzurula usiku wa manane kwa watu alimpa nani?
he's very irresponsible and this is he's pay off
 
Nimeshindwa kabisa kumwelewa Bwana huyu. Ina maana alikuwa haelewi kitu gani na kwa akili zake ilikuwa haki kumkabidhi Binti wa miaka 14 kwa mwanaume asiye na mke wala familia ili "amlelee mtoto wake wa kike"? Utetezi mwingine ni wa kijinga na unatia kinyaa.
 
Umri wa Lulu ni miaka 17

Lulu kitabia ni average 17 years old Tanzanian girl.

Ukichukua wasichana 10 wa miaka 17 Tanzania likely 5.5 wameshatembea na wanume wa umri wa zaidi ya miaka 18.
Tunajadiri mambo kana kwamba hatuishi mitaa ya Tanzania.
Kwanza kuna wasichana wengi tu wanaolewa chini ya miaka 18 hata hivyo jamii imekuwa ikifumba macho au kutazama pembeni.

Tabia ya Wanaume kutembea na vibinti vidogo ni kansa ya nchi nzima sioni sababu ya kumshambulia baba LULU.
Sasa hivi kuna kansa nyngine ya Mimama kutembea na vivulana vidogo.

Sijui ni mapenzi makubwa kwa Marehemu au ni Hasira kali juu ya Lulu kuhusishwa na kifo cha Kanumba??

Wazazi wengi Tanzania na mahali pengi duniani hawajui Tabia halisi za watoto wao, binafsi sishangai baba Lulu kuto jua tabia halisi ya mwanae.
Hata kama unachunguza sana tabia ya binti yako, Ukijua ametembea na wanaume wengi utafanya nini?
Chapa fimbo?
Fukuza nyumbani?
Pambana na njemba zilizotembea na binti yako??

Namna tunavojadiri ishu ya Lulu na Marehemu Kanumba inadhihirisha wazi jinsi tunavyojitahidi kukataa ukweli kwamba kijamii na kimaadili tumeoza hata hatufai kutupwa jalalani.

babu zetu malaya
bibi zetu malaya
baba zetu malaya
mama zetu malaya
kaka zetu malaya
dada zetu malaya
sisi wenyewe ni malaya wa kutupwa.

Lakini lawama tunataka kumvarisha Lulu na baba yake eti kwa sababu tu babana binti yake wana mporomoko wa maadili

Mweee!
 
hakutaka kufa huyo angeenda porini mwenyewe usiku au angeenda kujirusha barabarani tuone ..anakunywa dawa ya panya halafu anakimbilia hospitalini
 
wamwache Kanumba apumzike jamani, inatosha sasa. Yaani kila nikimfikiria huyu Kanumba yaani mwili unakua unakufa ganzi he is dead and gone ni ngumu kuamini lakini ndio hivyo kazi ya Mungu haina Makosa

Angalia! Usije ukashawishika kuchukua maamuzi kama ya huyo binti ambaye alitaka ku-R.I.P ili apewe rambirambi ya Tzs 10,000,000/-
 
Ule ubishi wa hapa jf kuhusu umri wa lulu hatimaye wawekwa wazi na baba mzazi wa lulu bwana Michael Edward Kimemeta anayeishi mjini Moshi.

Nanukuu

“Nataka nikuambie (mwandishi) mwanangu atatimiza umri wa miaka 17 ifikapo Aprili 17 mwaka huu. Sasa ana umri wa miaka 16 na ni mtoto"

"Kimemeta aliliambia Mwananchi jana kuwa mwanawe huyo alizaliwa Aprili 17 mwaka 1995 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH).


Baba huyo alisema alizaa na mama yake Lulu lakini hawakuwahi kuishi pamoja. "Mwanamke huyo alikuwa akifanya kazi Shirika la Ndege Tanzania (ATC) na muda wote Lulu alikuwa akiishi na mama yake jijini Dar es Salaam,"alisema Kimemeta.

Mwisho wa kunukuu.

 
Alivyokuwa ana hang out na mijibaba mbona huyu mzee hakujitokeza kuwachukulia hatua akina Kanumba na wenzake? Hili la umri wameliona sasa?
 
Hivi jaman huyu mtoto yupo form ngapi hapa naona swala la umri ndio front line mbona atumsikitikii muda anaokosa darasa hopeful ndio atakuwa form 3 au 4.
 
kuna na kajukuu kangu kanasoma pale uganda university
nako kananusa pale
sijui hela ya kumpa anapata wapi. au anahongwa mwanaume sijui.

Mfadhili Mkuu!!!?? Unajua aliyemfanyia party ya kuzaliwa? unamjua aliyemnunulia gari? unamjua anayemsomesha? unaymjua aliyemjengea nyumba?
 
Back
Top Bottom