Kifo cha Tabibu Dkt. Buberwa wa Herbal Products utata mtupu

Kifo cha Tabibu Dkt. Buberwa wa Herbal Products utata mtupu

Kweli mkuu aliwahi kusema wazi kuwa ana kisukari na kudai kuwa moja ya dawa zake inatibu kisukari lakini yeye anataka ajifunze madhara ya kisukari hatajitibu.

Pia alijiita nabii kwa kutabiri mwisho wa dunia kimahesabu, hesabu zilizoangukia mwisho kuwa 2037 hivi..!


Kama aliweza kutabiri mwisho wa Dunia basi ata mwisho wake alikuwa anaujua.
 
Back
Top Bottom