Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
View attachment 1837507View attachment 1837508
Wadau. Nafikiri mnamkumbuka huyu tatibu aliyekuwa maarufu Jijijini Dar Es salaam hasa miaka ya 2010 hadi 2017 .
Huyu mwamba amefariki dunia akiwa katika nyumba ya kulala wageni Jijijini Dodoma na tayari amezikwa Jijini Dar huku kukuiwa na utata wa familia ya mkewe aitwaye Riziki mwenyeji wa Kilimanjaro na ndugu wa marehemu. Mengine yatasemwa baadaye lakini tambua kuwa huyu mwamba amakwisha zikwa wiki mbili zimepita.
RIP DR Buberwa
Tazama video zake hapa
Alinitibu jino huyu mzee,jino lometoboka 2001 nikatumia dawa yake 2005 kudadeki hadi leo nadunda jino lipo vile vile na tundu halijawahi kuuma wala kutoa harufu....R.I.P Dr.