I see an abstract concept here...
Unataka watu wapende nini?
Wealth is the only thing that can relatively make human life alleviating
For you to earn another human's love then work on your flaws.
Hii tabia mbovu ya wanadamu kupenda watu blindly make the worlds a mess as it is now.
Kinachotakiwa ni transactional relationship,you have something i want and i have something u want,then lets transact...
Mengine yote ni unafiki..
Back to the point,as per statistics,wanawake wa Kichagga are more likely to be married than other ethnic groups in TZ,the reason being wanapendwa na wapumbavu wanaopenda "Uchagga"...
Kusema hawaolewi si kweli,wanaolewa zaidi kitakwimu kwa all the wrong reasons..
Nawatetea all the way through!
Wrong again.
Kwanza nikurekebishe mtazamo wako kuhusu maisha. Maisha ni UTU kwanza mali ni jambo la nyakati na ni auxiliary element ya maisha. Ulichokisema hicho cha 'wealth is the only thing that can relatively make human life.........' hiyo ni biased perception ya maisha na ni matokeo ya bad experience za watu katika maisha.
Its okay kutafuta mali , kuwa na mali na kuzimiliki ila ikifika moment unaweka rehani utu wako na utu,furaha na uhai wa mwenzako ili kuvipata hivyo then wewe huna unalolijua kuhusu maisha na utakuja kuelewa umri ukishaenda.
Kuhusu kuolewa sidhani kama u have all the statistics kuhusu ndoa hapa Tanzania, so don't sell yourself cheap with those social media and social network arrogant cheap stories. Wachagga ni jamii tu kama jamii nyingine ya watanzania nothing magical about them to be the marriage trophies and 1st class citizens. Ukiongelea wanawake 1st class wife material nadhani kila mtu anajua habari ya jamii ya wabena, wahehe, wasukuma ambapo mwanamke amekunzwa kumuweka mume mbele kabla ya chochote ila hautasikia wanamajigambo mitandaoni.
So kuoa mwanamke wa kichagga inakuwa ni issue sababu ya hizi tabia za ubinafsi na ndio maana utaona watu huwa wanakuza sana mijadala kuwahusu.
But kama wanafamilia na watoto wa taifa moja hatuwezi waachia jamii ya wachagga wachafuke hivyo kwenye baya tutasema kwenye zuri tutasifia.....
Ila tabia mbaya iliyopo ni hiyo mwanamke kuhusudu pesa kabla ya utu. Na hii ndio upelekea mwanamke kufeki maisha yote akiwa anatafuta na mumewe ila wakishapata mwanamke anaanza ubinafsi na kuona yeye anastahiki kumiliki kila kitu kwa 100%. Huu ndio upopoma na undezi wa wanawake wa kichagga hata washkaji wa kule wengi hii kitu wameiona wanakimbia kuoa huko wanaoa wanawake wa jamii zingine.
So usiwe mzembe hadi unashindwa kuobserve mambo rahisi kiasi hicho. Mimi nimeishi sana wilayani Moshi na mkoani Arusha nimeona hizi tabia.
Ukimpelekesha mtoto wa mwenzako atafute pesa ambazo hata wewe baba yako na kaka zako na ukoo wako wote mkijumlishwa hamjawahi kuwa nazo ni ukatili wa kijinsia na ni roho ya tamaa.
Tafuta huku ukiridhika na kile kinachopatikana. Usisahau hivi vitu vyote tunaviacha hapa duniani. Sasa mimi niache kujichana, kula mikuku, kusafiri na kufanya kazi na biashara ninayopenda nikae kupelekeshwa na mwanamke eti kisa mchagga na anapenda hela. Kubabake hela akachukue walipomuwekea wazazi wake hapa atapata penzi na matunzo stahiki ya mke wa ndoa baaaasi.
Am out.