Wrong to who?
Ni wrong kikwako..
Utu ni mavi unayoyajua wewe...bebana nayo wewe mwenyewe!
Utu wako ni mali yako na ni none of other human's business!
Kama wanadamu kwa hiyari yake ameamua kukupa msaada akupe,ila usimlazimishe kwa lazima na maneno yenu ya hovyo ya "UTU" na sijui "MORALITY" which are so fake kwasababu yapo induced to you by the religion to start with.
Biased perception kivipi?Natoa perception yangu na sio yako,baised kutokana na kipimo kipi?Chako wewe?
Hizi hoja za fear ndio maana sisi watu wa free world hatuzitaki tena
Utu wangu haukuhusu,nikiiamua kujiumiza is it your business?
Nimeamua kwa utashi wangu kuharibu utu wangu,wewe ambae unao wako,unahusika vipi na umiliki wa utu wa mwanadamu mwingine?
Mali ni nini?Mali ni nyenzo za kunisaidia kuishi kwa comfortability as high as possible to sustain human life
Kwahiyo linapokuja suala la mimi kutafuta highest possible human comfortability for myself and my dependants I cant take in your nonsense!
Tayari msimamo wangu kuhusu mali ushauelewa,sasa tuache hilo turudi kwenye software part of human life:
Nachotaka ni free beings,as selfish as possible to sustain their happyness long term....
I can't kill you if I depend you to buy my products,I cant kill or harm anyone who is beneficial or not to me unless if you are threat or harmful to me!
Sitaki kufatana na moralities based on religion ambazo ni sacrificial in nature kwamba mimi nipo hapa duniani ku-benefit wanadamu wengine at my expense.
Mimi sio mali ya jamii,kwanza hakuna genge la watu linaloitwa jamii lenye kuleta uharamia wa ku-control maisha ya watu individually
Jamii ni abstract concept,duniani ni watu mmoja mmoja,na mali zinajengwa na mtu mmoja mmoja,majukumu ya kila siku yanayfanywa na mtu mmoja mmoja,hakuna cha "jamii" inafanya,hivyo kila mtu awe huru kwa matunda ya matendo yake na abebe adhabu ya mabaya matendo yake mwenyewe
Kafie huko na "umoja","jamii","utu","jamii inakudai",etc