Kifo cha Tabibu Dkt. Buberwa wa Herbal Products utata mtupu

Kifo cha Tabibu Dkt. Buberwa wa Herbal Products utata mtupu

Wrong to who?

Ni wrong kikwako..

Utu ni mavi unayoyajua wewe...bebana nayo wewe mwenyewe!

Utu wako ni mali yako na ni none of other human's business!

Kama wanadamu kwa hiyari yake ameamua kukupa msaada akupe,ila usimlazimishe kwa lazima na maneno yenu ya hovyo ya "UTU" na sijui "MORALITY" which are so fake kwasababu yapo induced to you by the religion to start with.

Biased perception kivipi?Natoa perception yangu na sio yako,baised kutokana na kipimo kipi?Chako wewe?

Hizi hoja za fear ndio maana sisi watu wa free world hatuzitaki tena

Utu wangu haukuhusu,nikiiamua kujiumiza is it your business?

Nimeamua kwa utashi wangu kuharibu utu wangu,wewe ambae unao wako,unahusika vipi na umiliki wa utu wa mwanadamu mwingine?

Mali ni nini?Mali ni nyenzo za kunisaidia kuishi kwa comfortability as high as possible to sustain human life

Kwahiyo linapokuja suala la mimi kutafuta highest possible human comfortability for myself and my dependants I cant take in your nonsense!

Tayari msimamo wangu kuhusu mali ushauelewa,sasa tuache hilo turudi kwenye software part of human life:

Nachotaka ni free beings,as selfish as possible to sustain their happyness long term....

I can't kill you if I depend you to buy my products,I cant kill or harm anyone who is beneficial or not to me unless if you are threat or harmful to me!

Sitaki kufatana na moralities based on religion ambazo ni sacrificial in nature kwamba mimi nipo hapa duniani ku-benefit wanadamu wengine at my expense.

Mimi sio mali ya jamii,kwanza hakuna genge la watu linaloitwa jamii lenye kuleta uharamia wa ku-control maisha ya watu individually

Jamii ni abstract concept,duniani ni watu mmoja mmoja,na mali zinajengwa na mtu mmoja mmoja,majukumu ya kila siku yanayfanywa na mtu mmoja mmoja,hakuna cha "jamii" inafanya,hivyo kila mtu awe huru kwa matunda ya matendo yake na abebe adhabu ya mabaya matendo yake mwenyewe

Kafie huko na "umoja","jamii","utu","jamii inakudai",etc
Nimeshindwa kuelewa coz ulikuwa unaongea kwa sauti sana....... And me huwa nasikiliza vizuri kwenye sauti ya chini sio ya juu.
 
Nani kakwambia ni kisukari?

Anaweza kua alikua na ukimwi,how do you dispute this?

Kafa,na alikua mgonjwa,of what?who knows?

Kachoka,afya mgogoro,liongo,tapeli,etc...

Fvck outta here!
Reaction yako kali sana. Tujitafakari sisi sote ni mavumbi. Kuchoka afya, magonjwa nk nk ni mapitio tuu. Mwisho wetu kabisa hapa duniani ni kifo. Siku tu ndio zitatofautiana.
 
Kweli mkuu aliwahi kusema wazi kuwa ana kisukari na kudai kuwa moja ya dawa zake inatibu kisukari lakini yeye anataka ajifunze madhara ya kisukari hatajitibu.

Pia alijiita nabii kwa kutabiri mwisho wa dunia kimahesabu, hesabu zilizoangukia mwisho kuwa 2037 hivi..!
Ni tapeli tu huyo! Yaani awe na dawa ya kutibu kisukari halafu mwenyewe asijitibu abaki kuteseka na kupoteza nguvu za kiume
 
I see an abstract concept here...

Unataka watu wapende nini?

Wealth is the only thing that can relatively make human life alleviating

For you to earn another human's love then work on your flaws.

Hii tabia mbovu ya wanadamu kupenda watu blindly make the worlds a mess as it is now.

Kinachotakiwa ni transactional relationship,you have something i want and i have something u want,then lets transact...

Mengine yote ni unafiki..

Back to the point,as per statistics,wanawake wa Kichagga are more likely to be married than other ethnic groups in TZ,the reason being wanapendwa na wapumbavu wanaopenda "Uchagga"...

Kusema hawaolewi si kweli,wanaolewa zaidi kitakwimu kwa all the wrong reasons..

Nawatetea all the way through!
Takwimu ziko approved na mamlaka gani..au umejitungia kujipa moyo..wanawake wakichaga ni disaster katika ndoa..wachumia tumbo..wanajari pesa..hawafai kuolewa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu aliwahi kusema wazi kuwa ana kisukari na kudai kuwa moja ya dawa zake inatibu kisukari lakini yeye anataka ajifunze madhara ya kisukari hatajitibu.

Pia alijiita nabii kwa kutabiri mwisho wa dunia kimahesabu, hesabu zilizoangukia mwisho kuwa 2037 hivi..!
Ha ha ha
 
Back
Top Bottom