Kifo cha Tabibu Dkt. Buberwa wa Herbal Products utata mtupu

Kifo cha Tabibu Dkt. Buberwa wa Herbal Products utata mtupu

Anaonekana kama ni mgonjwa na anasound kama tapeli. Zaidi ya yote hana maadili, huwezi toa siri za mgonjwa.
Hitimisho: Alikuwa tapeli na amekufa sababu afya yake haikuwa imara.
Lipi lenye uhakika katika hayo uliyoyaongea? maana naona maneno ya "anaonekana..ana sound kama..".

Hakuwa na dawa ya kuzuia kifo ila alikuwa na kisukari kwa miaka mingi na alikuwa akifanya shughuli zake kama kawaida.
 
Jamaa aliwahi kusema kuwa Tundu Lissu ni mmoja wa wateja zake, kuna product yake moja inaitwa LIFE ndio anasema alikuwa akiitumia Lissu na ndio anadai ilimsaidia Lissu alipopatwa na lileshambulizi.
Life ni dawa kwa ajili ya mifupa na kuimarisha mwili hususani kwa wazee,bi mkubwa wangu alikua anaitumia sana akapona magoti....R.I.P Dr.
 
Mkuu

Ni dada zangu wa damu na hapa nawatetea:

Umekuja duniani kutetea uhai wako

I can not be pernalized kwa matatizo yako wewe

Hakuna society kuna individuals...selfishness is a noblest virtue!
Mmmmmmhmn unajua kuna tabia unaweza hisi mtu anayo ukahisi labda umemfikiria vibaya tu then unakuja kuta mtu anaongelea the same experience as if mlikutana na same people at the same place same time......

Nadhani ni swala la makuzi. Mabinti wa pande zile majority (sio wote) wanathamini sana mali na pesa ya mwanaume na hawana fikra za kupenda ile ya kike kike. Yaani wao ni maigizo zaidi and that explains why ukienda kule Moshi na Arusha alot of young ladies wana watoto but not married no man around wana hustle wenyewe......
 
View attachment 1837507
View attachment 1837769

Wadau. Nafikiri mnamkumbuka huyu tatibu aliyekuwa maarufu Jijijini Dar Es salaam hasa miaka ya 2010 hadi 2017 .

Huyu mwamba amefariki dunia akiwa katika nyumba ya kulala wageni Jijijini Dodoma na tayari amezikwa Jijini Dar huku kukuiwa na utata wa familia ya mkewe aitwaye Riziki mwenyeji wa Kilimanjaro na ndugu wa marehemu. Mengine yatasemwa baadaye lakini tambua kuwa huyu mwamba amakwisha zikwa wiki mbili zimepita.

RIP DR Buberwa

Tazama video zake hapa.
Jamaa alikua na magonjwa yake

Hakuna utata

Labda kauli zake ndio zilikua tata
 
Mkuu

Ni dada zangu wa damu na hapa nawatetea:

Umekuja duniani kutetea uhai wako

I can not be pernalized kwa matatizo yako wewe

Hakuna society kuna individuals...selfishness is a noblest virtue!
Una personalize na ku-aaply selfishness kwenye relationship ambayo inatakiwa iwe driven na love, trust, respect, uvumilivu, peace, happiness, submission, high level of spirituality, mutual interests. Huwezi kuwa na quality za a respected woman ambazo kila mwanaume anazitarajia kama unaendeshwa na tabia za kijambazi kwa mwenza wako, wewe ni sawa na muuaji tu. Full stop.
 
View attachment 1837507
View attachment 1837769

Wadau. Nafikiri mnamkumbuka huyu tatibu aliyekuwa maarufu Jijijini Dar Es salaam hasa miaka ya 2010 hadi 2017 .

Huyu mwamba amefariki dunia akiwa katika nyumba ya kulala wageni Jijijini Dodoma na tayari amezikwa Jijini Dar huku kukuiwa na utata wa familia ya mkewe aitwaye Riziki mwenyeji wa Kilimanjaro na ndugu wa marehemu. Mengine yatasemwa baadaye lakini tambua kuwa huyu mwamba amakwisha zikwa wiki mbili zimepita.

RIP DR Buberwa

Tazama video zake hapa.
mbona wamefanya kimya kimya hivyo R.I.P
 
Mbona sura yake inaonyesha ni mtu aliyekuwa na maradhi sugu kama sio ukimwi ni kisukari
Utata uko wapi? Hyo ni njia yetu wote
Dr. Joseph K. Buberwa alikuwa Mgonjwa muda mrefu.

Ila pia kikubwa kinachosambaa ni kuwa Mkewe ambaye ni Mchaga amemuua kinamna ili arithi mali kwakuwa walikuwa na mgogoro

Mwanamke alikuwa anashirikiana na Kaka yake.

Hatuna uhakika kama ni tetesi au kweli.

View attachment 1837817
 
Kifo ni mlango wetu sote aliekwenda kaenda tu kufukunyua siri hiyo ya kifo mwisho wake ni kuanza kukufuru na kuanza kushikanana ili kutekeleza sheria za duniani tu
 
Una personalize na ku-aaply selfishness kwenye relationship ambayo inatakiwa iwe driven na love, trust, respect, uvumilivu, peace, happiness, submission, high level of spirituality, mutual interests. Huwezi kuwa na quality za a respected woman ambazo kila mwanaume anazitarajia kama unaendeshwa na tabia za kijambazi kwa mwenza wako, wewe ni sawa na muuaji tu. Full stop.
Kwahyo kwenu watu huwa hawafi kisa sio wachagga vitu vingine huwa ni akili ndogo huamini. Mimi na wewe kufa siku moja ni lazima
 
Ni daktari by professional au ni kujipachika
Hafananiii
Zungumza yake dah uhai yu hai anatamka ai yu ai
Anafanania afya haikuwa sawa
Muda wake ulifika
Shukuruni Mungu kwa kila jambo
Apumzike kwa Amani
Haana hakuwa Dr bali wa kujipachika
 
Back
Top Bottom