Kifo cha Ulomi: Taarifa ya Polisi imezua maswali magumu na mabaya. Haya hapa baadhi...

Kwa Nini Police huwa wanakurupuka kutoa matamko bila kutulizana, Hilo la registration ya pikipiki ni gumu sana!
 
Tuelezww aligongwa na gari gani au nini kilisababisha hiyo ajali?
Mtu ajulikani, kuna taarifa za mtu kupotea kwa nini Polisi haikutangaza uwepo wa mtu asiyejulikana? Alitibiwaje bila kuwa PF - 3? Amana Hosp na Mwanayamala Hosp ipo iko karibu na makuburi? Hiyo piki piki wameikuta wapi au ilipelekwa wapi baada ya ajali? Je ilipelekwa kwenye kituo gani cha Polisi? Nani aliitoa barabarani na traffic gani alishugulika na hiyo ajali???

Mbona maswali yanakuwa mengi sana jamani????
 
Inasikitisha.
Hata pikipiki yake ilishindwa kutambulika baada ya ajali? Maswali ni mengi
 
Da
 
Kuna swali muhimu umeliacha.
Namba ya pikipiki ilikuwa mitandaoni na kwenye Taarifa ya awali ya Polisi Tangu Des.12, iweje Polisi wakae bila kujua pikipiki ni ya Nani wakati hata kwenye Taarifa Yao iliyoko mitandaoni wameitaja?
 
Asante mnooooo mnoooo
 
Watu wamewaacha na hakuna la kusema. Semeni nyie maana ndo wenye akili; wengine wote, wakiwemo hao polisi, hamna kitu ukilinganisha na nyie mliokamilika.
HEBU soma kimya kimya ulichoandika, je ulichoandika kina maana? If HAPANA, jipige kifua mara TATU sema Mimi ni mjinga
 
Naam ndugu umeniita mkuu
 
HEBU soma kimya kimya ulichoandika, je ulichoandika kina maana? If HAPANA, jipige kifua mara TATU sema Mimi ni mjinga
Nimejipiga mara nne, nimeongeza Moja kama bonus kwako. Ajabu ni kuwa Kila nikitaka kitamka hivyo sauti inayotoka na kusikiwa na watu ni, 'determinator ni mpumbavu'. Kwahiyo nimeshindwa kukusaidia, pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…