Kifo cha Ulomi: Taarifa ya Polisi imezua maswali magumu na mabaya. Haya hapa baadhi...

Nimejipiga mara nne, nimeongeza Moja kama bonus kwako. Ajabu ni kuwa Kila nikitaka kitamka hivyo sauti inayotoka na kusikiwa na watu ni, 'determinator ni mpumbavu'. Kwahiyo nimeshindwa kukusaidia, pole.
Mpwa, Tumshukuru MUNGU siku imeisha salama hatujatekwa! Mwenyezi MUNGU awabariki wote na Kesho pia ni siku. Zaburi ya 23
 
Maswali ya kufikirisha:-
1. Maswala ya forodha hufanywa na clearing agent, kwanini Ulomi apigiwe simu Moja kwa moja na asipigiwe clearing agent wake kwenda kukagua container? Polisi na TRA Tanzania watupe ukweli
Mkuu muda mwingine kodi inapokua kubwa mwenye mzigo anatafuta nafuu ya kulipia huo mzigo kwa kupitia hizo njia nadhani wa Ilemi umeelewa Agent anatumika kujaza kila kitu mpaka kwenye hatua ya malipo ila kabla hapo Wasizwa wanakaa kuweka mazingira mazuri ya kodi nafuu..
 
Mmmm dunia hii jamani tunakoipeleka, sijui turudi kwenye asili maana mambo yakizungu yametushinda
 
Wameandika report ya ajabu mno mno! Kwamba alikua anaenda bandari kavu bila kua na taarifa yoyote ile? Nitakua wa mwisho kuamini hil

Polisi wana kazi ngumu sana na kutunga cinema. Wanasiasa wabaya sana
 
Eti alipelekwa mochwari tarehe 11 ila Polisi walikuwa hawajui hadi leo ndio wamejua, huku ndugu zake wakipita humo humo kumtafuta bila mafanikio!

Muliro usitufanye wananchi ni Wajinga kiasi hicho
Kama polisi wameshindwa kujua jambo dogo kama hilo basi hatupo salama kama wanavosema tanzania ni shwari

Pia hakuna ushirikiano kati ya vyombo vya ulinzi na usalama kama kujua mtu alipata ajari tena mabibo siku 4 haijikani?
 
Inasikitisha.
Hata pikipiki yake ilishindwa kutambulika baada ya ajali? Maswali ni mengi

Na ilipata ajali hewani? lakini kama ana makandokando mengine, ajali za hewani zipo nyingi sana. Siku hizi vijana wanataka kuwahi fasta kwenye maisha na baadhi wako tayari kufanya lolote.
Na ukifanya lolote lazima ujiandae kwa lolote. Maana lolote ni mtu wa hovyo sana. hana upande wala urafiki
 
Huyu naye ni mchaga!?
 
ya Ali kibao hakuna majibu hadi Leo na mtu alishushwa kwenye gari akaenda kuuuliea sembuse olomi aliliyekuwa akiiendesha pikipiki,YAANI KUTOKA UBUNGO HADI MWANANYAMALA MAJERUHI ANALIKUWA ANATALII MJI
 
Wapi na kwa namna gani? Ila kama alijitengenezea mazingira, kama Bwana Lema anavyosema, pumzika salama mwana. Sisi pia twaja taratibu
Waandishi wa habari hawana uwezo wa kuhoji matukio kama haya? au kazi ya ni kuandika na kuripoti kila taka wanazoelezwa?
 
Siku zote mtu asiyefahamika akipata ajali barabarani taarifa husambaa haraka sana mitandaoni, ila hili lina maswali mengi yasiyojibika
 
πŸ™‹β€β™‚οΈπŸ€πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…